Rsm0087
JF-Expert Member
- Jul 12, 2019
- 361
- 893
Mm ninachoelewa watu hukimbia changamoto inayowatesa na kwenda kwenye unafuu, kwann uteseke na gari ambayo kuna mbadala wake na nikali hata kimuonekano?Tatizo ni unyumbu wetu tu, tukishaanza kuparamia gari aina fulani woote tunaenda. Hii ndo inasababisha gari aina fulani kushuka paap sababu kila mtu anataka auze aungane na wenzake walipokimbilia.
Crown na Brevis zinapishana kidogo sana. Lita moja brevis 11km wkat crown 12km mpaka 12.5, hii haiwezi sababisha gap kubwa hivyo la bei. Crown 1 iliyotumika nchini unapata brevis 2 tena ukikaa vzr 3. UNAZIKUMBUKA ALTEZZA? ULIKUWA UKIITAKA UNAUZIWA TSH NGAPI? NA WAKATI HUO HUO CRESTA GX100 ILIUZWAJE? SASA HIVI ALTEZZA BEI ZAKE?
Ccm nao wanajua tabia zetu hivyo wanaitumia kucheza na ushuru wa magari, ila ukiagiza bei huko nje hazitofautiani sana. Hata altezza bei bado ni nzuri tu, ikishaingia humu ndo inakuta watu wote wimbo ni crown inaporomoka bei.
Brevis inzingua sana Abs master na bei yake ni laki 7 na kuendelea, na unaweza kufunga leo ukakaa nayo muda kidogo tu ikafa tena, changamoto hii imewafanya watu wengi kichukia Brevis....ndio maana watu wakaona wajisalimishe kwa mnyama Crown ambaye hana changamoto kama hyo.
W jiulize kwann Crown ni vigumu kushuka bei hadi sasa na wakati ina matoleo ya mapya zaidi. Inamaana haiwaboi wamiliki wake, inawapa wanachohitaji.