Jemedaree
JF-Expert Member
- Nov 22, 2021
- 676
- 2,024
Isizidi 2000 (2), crown ina nguvu rpm ikivuka moja tu chuma inasepa, usiilazimishe acha gari iende yenyewe utakuja kunishukuru baadae. Zingatia usipende kupata speed kubwa kwa muda mfupi itakughanimu kwenye mafuta maana rpm lazima iende juu sana. Kama ulishafatilia waendeshaji weng wa crown ni wastaarabu sana huwezi sikia muungurumo wa crown labda iwe mbovu, huwa zipo kimya kimyaaaa.
Asante umemweleza vizuri…usiforce gari kuchange gear
Kuna mtu uendeshaji wake hata IST haimpi 15km
Ni kweli crown engine kubwa lkn ina teknolojia nzuri
Piaa mwambie jamaa afatilie kuna gari inaitwa mazda cx-5 diesel 2200cc huko atapata mpk 18km/L sawa na passo yenye piston 3 na wala gari sio hybrid