Kuporomoka kwa Bei ya Brevis

Kuporomoka kwa Bei ya Brevis

Itakuwa uliendesha mwendo mkali sana, nakumbuka niliwahi kutembea na Allex ya cc 1496 Km 485 nikatumia robo tank...hvyo nilikuwa na uwezo wa kurudi nilipotoka, kama ist yako ni 1290 umetumia mafuta mengi. Labda ingekuwa 1496 zen ni AWD.

Lakini hata hivyo niliwahi kuona mdau humu akisema alikuwa na Ist ya 1496 AWD alikuwa akiweka lita 10 alikuwa anapata 210Km.
Yes ni 1.5 AWD
 
Acha ubishi mkuu??

Crown unayo?ya kwako ?
Au unapewa uendeshe tu kwenda k/koo na kurudi
Then unakuja hapa kutupigia kelele

Sawa kwasababu umetaka screenshot hii hapa

View attachment 2529206
Hataki kuamini kama hii chuma ni economy sana ukiiheshimu, usipoiheshimu utakuja kuilamu bure kwamba inakula mafuta. Kwanza ni gari inayokupa unachokitaka kwa muda wote, mm huwa nawauliza watu "uliwahi kusikia muungurumo wa Crown?" Na sio kwamba hazina muungurumo laa hasha, wamiliki wao wanziheshimu sana naukisikia Crown imeunguruma basi ujue mwendo wake sio mchezo. Ni gari nzuri bana japo baadhi ya watu wanaziponda ili zishuke thamani lakini wapi ndio kwaaaaanza watu wanazinunua tu.
 
Wakuu habari za wakati huu?

Ningependa kufahamu hizi gari zimekumbwa na shida gani mpaka watu kuanza kuziuza kwa kasi sana tena kwa bei kutupa kwa gari kali na yenye hadhi kama hii.

Imefikia hatua gari hizi huuzwa hadi kufikia nusu ya bei ya IST used hapa bongo, yaani imekuwa bei ya Brevis mbili za mkononi ni sawa sawa na IST moja iliyotumika hapa Bongo.

Karibuni kwa maoni yenu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Tunashukuru kwa taarifa
 
Acha ubishi mkuu??

Crown unayo?ya kwako ?
Au unapewa uendeshe tu kwenda k/koo na kurudi
Then unakuja hapa kutupigia kelele

Sawa kwasababu umetaka screenshot hii hapa

View attachment 2529206
Mkuu sijapiga kelele, niliomba screenshot tuu. Gari moja tuu nayomiliki inanunua crown zaidi ya 20. Imekuchukua zaidi ya week moja kuleta screenshot. Niliomba ushahidi sababu natafuta gari ndogo comfortable (toyota) ya kupeleka watoto shule; ndio maana nahitaji City driving real life consumption.
 
Chief kongole sana kwa kuwa na uchumi standard
Upo level za Joseph Kusaga
Mkuu sijapiga kelele, niliomba screenshot tuu. Gari moja tuu nayomiliki inanunua crown zaidi ya 20. Imekuchukua zaidi ya week moja kuleta screenshot. Niliomba ushahidi sababu natafuta gari ndogo comfortable (toyota) ya kupeleka watoto shule; ndio maana nahitaji City driving real life consumption.
 
BREVIS na PASSO bei zake huwa sielewi why zinakuwaa chini hata kama gari unaonaa ni mpyaa na kali sanaa.
 
Mimi Sina gari Wala utaalamu na magari ila nishakutatana na mauzo mengi ya hizo gari Kwa bei ya M 6 Hadi 7 Tena yakiwa kwenye Hali nzuri kabisa. Wengi wa wanaouza wanadai ni gharama kwenye kuyahudumia hasa Mafuta wanasema haya magari yamekuwa kama majini yanayokunywa damu, na pia spea zake ni ghali kidogo. Sasa sijui ni kweli ama la!
 
Premio la,ima iwe kimbilio zaid kwa sababu yenyewe inatembea km nyingi kuliko crown, ns ndio maana premio zilizojazana hapa bong ni za cc 1496 na kidogo zinafata 1790 zile zenye cc 2000 ni za kutafuta kwa tochi na hazina soko kabisa.

Crown kupata 13km/l inawezekana sana sema tu itategemea uendeshaji wako, hizo km 13 watu wanazipata hapahapa mjini na sio safari ndefu. Kwenye toyota Crown uendeshaji wako ndio unaamua gari itumiaje mafuta na usikatae.

Mbona Ist 1490 ya 2009 inatumia mafuta vizuri kuliko Ist ya 1290 ya mwaka 2006? Ulishawahi kujiuliza hilo limekaaje? Ukipata jibu hapo ndio utaelewa kwann Crown ina injini kumbwa zen haitumii mafuta mengi ukilinganisha na Brevis.
Vip kuusu Toyota Wish mkuu kuna jamaa anataka kuniuzia kwa M12
 
Mbona bei kubwa hivyo? Nipe 4.5m nikupe Brevis namba DLE.
Ni hivi gari used hasa sedan za engine kubwa hazina demand kubwa hivyo kupelekea bei kuwa chini. Sio Brevis tu hata MarkX au Crown bei huwa chini
Nitakujia mkuu
 
Wakuu habari za wakati huu?

Ningependa kufahamu hizi gari zimekumbwa na shida gani mpaka watu kuanza kuziuza kwa kasi sana tena kwa bei kutupa kwa gari kali na yenye hadhi kama hii.

Imefikia hatua gari hizi huuzwa hadi kufikia nusu ya bei ya IST used hapa bongo, yaani imekuwa bei ya Brevis mbili za mkononi ni sawa sawa na IST moja iliyotumika hapa Bongo.

Karibuni kwa maoni yenu

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
ONGEZEA NA KUPOROMOKA BEI YA DUALIS
 
Back
Top Bottom