Kuporomoka kwa Bei ya Brevis

Yes ni 1.5 AWD
 
Acha ubishi mkuu??

Crown unayo?ya kwako ?
Au unapewa uendeshe tu kwenda k/koo na kurudi
Then unakuja hapa kutupigia kelele

Sawa kwasababu umetaka screenshot hii hapa

View attachment 2529206
Hataki kuamini kama hii chuma ni economy sana ukiiheshimu, usipoiheshimu utakuja kuilamu bure kwamba inakula mafuta. Kwanza ni gari inayokupa unachokitaka kwa muda wote, mm huwa nawauliza watu "uliwahi kusikia muungurumo wa Crown?" Na sio kwamba hazina muungurumo laa hasha, wamiliki wao wanziheshimu sana naukisikia Crown imeunguruma basi ujue mwendo wake sio mchezo. Ni gari nzuri bana japo baadhi ya watu wanaziponda ili zishuke thamani lakini wapi ndio kwaaaaanza watu wanazinunua tu.
 
Tunashukuru kwa taarifa
 
Acha ubishi mkuu??

Crown unayo?ya kwako ?
Au unapewa uendeshe tu kwenda k/koo na kurudi
Then unakuja hapa kutupigia kelele

Sawa kwasababu umetaka screenshot hii hapa

View attachment 2529206
Mkuu sijapiga kelele, niliomba screenshot tuu. Gari moja tuu nayomiliki inanunua crown zaidi ya 20. Imekuchukua zaidi ya week moja kuleta screenshot. Niliomba ushahidi sababu natafuta gari ndogo comfortable (toyota) ya kupeleka watoto shule; ndio maana nahitaji City driving real life consumption.
 
Chief kongole sana kwa kuwa na uchumi standard
Upo level za Joseph Kusaga
 
BREVIS na PASSO bei zake huwa sielewi why zinakuwaa chini hata kama gari unaonaa ni mpyaa na kali sanaa.
 
Mimi Sina gari Wala utaalamu na magari ila nishakutatana na mauzo mengi ya hizo gari Kwa bei ya M 6 Hadi 7 Tena yakiwa kwenye Hali nzuri kabisa. Wengi wa wanaouza wanadai ni gharama kwenye kuyahudumia hasa Mafuta wanasema haya magari yamekuwa kama majini yanayokunywa damu, na pia spea zake ni ghali kidogo. Sasa sijui ni kweli ama la!
 
Vip kuusu Toyota Wish mkuu kuna jamaa anataka kuniuzia kwa M12
 
Mbona bei kubwa hivyo? Nipe 4.5m nikupe Brevis namba DLE.
Ni hivi gari used hasa sedan za engine kubwa hazina demand kubwa hivyo kupelekea bei kuwa chini. Sio Brevis tu hata MarkX au Crown bei huwa chini
Nitakujia mkuu
 
ONGEZEA NA KUPOROMOKA BEI YA DUALIS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…