Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

😎
 
Attachments

  • downloadfile-13.jpg
    downloadfile-13.jpg
    73.3 KB · Views: 2
Poleni wana congo ila sio mara ya kwanza hayo kutokea
Hivi hakuna utaratibu wa kuratibu uzito unaotakiwa kuhimimilinguzo zilizowekwa au kwakua nafasi ipo basi nikujaza tuuh bila kujali ni uzito ghani unastahili kubebwa na ground
Poleni tena wahanga ila si vibaya kutafakari!?
 
Back
Top Bottom