Nchi hii ipo serious na wizi wa kura kuliko mambo ya msingiNaunga mkono hoja. Halafu zimamoto iundwe upya hawana uwajibikaji.
Hahah duh inauma sana mkuuNaunga mkono hoja. Halafu zimamoto iundwe upya hawana uwajibikaji.
Too sadWataalam wakifika hapo hao wote wanafukuzwa, kwamba hawana utaalam wowote wa uokozi, wataambiwa asanteni mkapumzike sasa.
Keep watching and keep this reply for reference!.
Too sad.Sifa zote zitaenda kwa Chalamila (kama vile amebeba hata tofali moja), Majaliwa, Zimamoto na Polisi.
Hao waliojitolea mwisho wa siku wataambiwa ni vibaka.
Kiongozi wao yupo Brazil anaangalia salsa saa hizi.
Jiandaeni kutopewa pongezi zozote, pongezi zote kwa Jeshi la Uokoaji na Zimamoto pamoja na rais kwamba wameokoa maisha ya watanzania walioangukiwa na kifusi
Duuh too 😢Jiandaeni kutopewa pongezi zozote, pongezi zote kwa Jeshi la Uokoaji na Zimamoto
Ulikua haujui hilo?Duuh too 😢
Ngojeni kidogo tufanye uokozi jamani
Soma hii video:Duuh too 😢
HahahahhSoma hii video:
Waziri Mkuu Majaliwa awasili lilipoporomoka jengo Kariakoo, uokoaji waendelea
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewasili Kariakoo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kujionea hali ya uokoaji inavyoendelea katika jengo la ghorofa liliporomoka leo Jumamosi Novemba 16, 2024 asubuhi. Soma, Pia: • Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16 • Rais Samia atoa pole kwa...www.jamiiforums.com
Elewa neno 'Makamanda'
Too sad,Ngoja waje wataalamu ambao hata kuwahi kwenye tukio ni tatizo
We naye hebu acha upumbavu wako watu wanakufa unaleta mambo ya ukabilaAcha wafe si wanajitapaga kuwa wako mjini, huji kuskia eti Mbeya ghorofa limeanguka.