Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Kila mtu analaumu upande anaoona unafaa kulaumu, serikali inalaumiwa , vikosi vya uokaoji vinakaumiwa, wajenzi na wasimamizi wa ujenzi wanalaumiwa!

Katika maisha ya mwanadamu na harakati zake hakukosi kuwepo kwa bahati mbaya, iwe mataifa yaliyoendelea ama haya yetu, tekinolojia ya uokoaji inatofautiana kwetu na hata huko juu kuliko endelea.
Ilitupasa kutia moyo na hamasa na dua kwa wenye imani, misaada ya hali na mali kuliko kukaa kwenye vyombo vya mawasiliano kulaumu kutukana na kubeza!
Lau kama sisi tunao laumu hapa tungekua ndio yunaopaswa kufanya huwenda hali ingekuwa mbaya zaidi.
 
Back
Top Bottom