Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Pole kwa wote waliofikwa na janga hilo.

Kuna post nitaitafuta ni majuma mawili sasa yamepita kuna mdau aligusia kuhusu ubomoaji na ujengaji holela maghorofa Kariakoo huku akitahadharisha utokeaji wa majanga kutokana na kutofauata kanuni za ujenzi na usimamizi wa kitaalamu.

Pia imejionyesha Tanzania bado haijawa tayari katika disaster preparedeness hasa katika soko la Kariakoo, lile tukio la moto naona halikutoa fundisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…