Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Huu ndio wakati wa kuonesha uzalendo wetu kwa nchi yetu.

Tujitokeze kwa wingi ili tupewe utaratibu kutoka kwa kiongozi mahususi wa kikosi cha majanga na uokozi.

Hii ni fursa kwa Bavicha kuonesha si tu uzalendo lakini pia umoja na ushiriki ktk majanga ya Kitaifa.

Hima Hima Twende kwa wibngi na kwa pamoja.

Je na hili linahitaji kibali?
 
Kwaiyo wasiokuwa wanachama wa bavicha hawahusiki au siyo
 
Watu wamefiwa, watu wameumia na kuna waliooata hasara kubwa sana.
Ni vema unapunguza huo upumbavu wako wa uccm.
 
Kama kwenye maandamano yao tu walichicken, unategemeaje kuwaona kwenye kuihudumia jamii?
Hapo ni fulsa kwa makamanda, aka nyumbu, kusimama pembeni, kuchukua vids na selfi ili wakapost mitandaoni kwa lengo la kujipatia ujiko.
 
Mtapigwa virungu mpk mchakae
 
Sidhani kama utakuwa uko sahihi kwa Hoja yako hii kuhusiana na tukio hili.
Kitaalamu timu ya Waokoaji walipaswa kuwasili mapema zaidi kwenye hilo eneo la tukio, isipokuwa hao Waokoaji walipaswa kuwasili kwa awamu tofauti tofauti wakiwa katika makundi ya Watu wachache. Mathalani, Waokoaji kumi wangewasili ndani ya Nusu saa baada ya ajali kutokea, kisha baadaye wangeendelea kuwasili waokoaji wengine kwa makundi yenye idadi kadhaa ya Waokoaji. Hivyo Basi, hata kama ajali hiyo ingekuwa tukio 'chambo' Basi idadi ya Waokoaji Wahanga ingeweza kuwa ndogo. Masaa matano ni mengi Sana, waokoaji walichelewa Sana kuwasili katika eneo la ajali kwa ajili ya kazi ya uokozi wa wahanga, usiwatetee hao Waokoaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…