Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni wanne hadi kufikia saa 11 jioni ...hiyo ni rasmi kutoka vyombo rasmiWalio poteza maisha ni wa ngapi ili tupime kama ni mafanikio au laa.
Hii lugha hii!!Mwanasheria wangu yupo martenityView attachment 3153950
Lazima tuwape hongera kwa kuokowa hidadi kubwa,..... "kwa kweli tunamsshukuru Raisi kwa kuwezesha waokoaji" ni suala la mda utasikia hi nchi inawapumbavu wengi.ni wanne hadi kufikia saa 11 jioni ...hiyo ni rasmi kutoka vyombo rasmi
Suala hili Hatuwezi kuliacha mikononi mwa Serikali kwa sababu Serikali hiyo hiyo ilikuwa na wajibu wa msingi kabisa wa kutoa Kinga ili ajali kama hizi zisitokee, lakini Serikali inaonekana kushindwa kutekeleza wajibu wake huo na hatimaye ajali hii imetokea wakati kulikuwa na uwezekano wa kuikinga isitokee. Serikali inapaswa kulaumiwa kwenye suala hili, kwani ajali hii haikusababishwa na kudra za Mungu Bali ni kutokana na tatizo la uzembe, rushwa na kukosa kuwajibika ipasavyo kwa Watu fulani fulani.Nani kakwambia kama hao wachache hawakuwasili ndani ya muda?
So far the response has been handled professionally.
Kumbuka kazi muhimu ya uokoaji au vikosi vya uokoaji ni kwa ajili ya wale mahututi ....katika scene kama hii wapo wengi wanaoweza kujiokoa hawa huwa na madhara machache.
Inahitajika akili kuwaokoa walio mahututi.
Haraka haraka isiyo na utaalamu ina madhara ya kuwaumiza hata wale wanaoweza kujiokoa au hata kuwaokoa wenzao.
Hebu tuwaachie Serikali na Wananchi wazalendo watimize jukumu hili ...sio kulaumu nyuma ya keyboard
Katika kila watu 10 wanaopatikana, 4 ni marehemu. Halafu kuna machawa wanatoa pongeziWalio poteza maisha ni wa ngapi ili tupime kama ni mafanikio au laa.
Ehhni wanne hadi kufikia saa 11 jioni ...hiyo ni rasmi kutoka vyombo rasmi
Unaona ukioongeza utafanya kufuru kwenye dini yenu ya kupinga na kulaumu serikali!?..asingeokolewa hata mmoja yangekua mafanikio au laa?!.. akili zenu banaKatika kila watu 10 wanaopatikana, 4 ni marehemu. Halafu kuna machawa wanatoa pongezi
Kama ni taarifa ya serekali hiyo idadi ni ya uongo.ni wanne hadi kufikia saa 11 jioni ...hiyo ni rasmi kutoka vyombo rasmi
Mzeee hapo hapo wanataka na kupiga pesa utasikia zoezi ya uwokoaji limeghalimu 50mil bong nyosoNimeona mahali kwamba Zoezi la uokozi limeahirishwa pale Kariakoo kisa Giza au Usiku umeingia.
Binafsi naona kwa Dunia ya sasa yenye Teknolojia za kila aina kusitisha Zoezi la kuokoa watu kisa Giza ni jambo la kushangaaza kwa Nchi kama Tanzania.
Gorofa lenyewe ni moja kwa jiji lenye kila rasilimali za kila aina Dar es salaam, bado linatushinda... Je yangeanguka magorofa matano au zaidi tungemudu vipi kuokoa watu, au tukio hilo lingetokea huko Tandahimba.
Kiuhalisia Jeshi la uokozi na watu wanaohusika moja kwa moja na kazi hizi za uokoaji wajitathmini, n kukaa tayari kwa majanga ya hapo baadae endapo yakitokea basi tuweze kupambana nayo kikamilifu na sio kukwamishwa na Giza.
Zoezi kubwa limefanywa na wananchi ambao hata Elimu ya uokoaji hawana, ila wamepambana kuokoa binadamu wenzao na kuhakikisha wanatoka wakiwa hai.
Niwapongeze wananchi aisee, kazi nzuri
Pole nyingi sana kwa walio fiwa , hata hivyo pongezi ziwe nyingi sambamba na maoni ya kutia moyo hamasa na kutoa msaada wa hali na mali ikitanguliwa sala dua na maombi.ni wanne hadi kufikia saa 11 jioni ...hiyo ni rasmi kutoka vyombo rasmi
Mahututi chini ya kifusi kama hawakufikiwa mapema ni kifo. Sijakuelewa.Nani kakwambia kama hao wachache hawakuwasili ndani ya muda?
So far the response has been handled professionally.
Kumbuka kazi muhimu ya uokoaji au vikosi vya uokoaji ni kwa ajili ya wale mahututi ....katika scene kama hii wapo wengi wanaoweza kujiokoa hawa huwa na madhara machache.
Inahitajika akili kuwaokoa walio mahututi.
Haraka haraka isiyo na utaalamu ina madhara ya kuwaumiza hata wale wanaoweza kujiokoa au hata kuwaokoa wenzao.
Hebu tuwaachie Serikali na Wananchi wazalendo watimize jukumu hili ...sio kulaumu nyuma ya keyboard