kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
hao unaowaona waliowengi ni wezi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, nakumbuka baadhi ya maandiko yako kwenye uchangiaji mbalimbali!Mkuu majina yanaakisi mtu alivyo that's why tunashauriwa tuwachagulie watoto majina yenye manktiki kidogo.
Mbona limekuuma sana suala la mamayo ?Acha upuuzi jengo ajenge engineer kujiuzulu Mama..ukome kabisa huna adabu wewe mtoto
Mama kaingiaje hapo sasa
Umesahau wajibu wa serikali ni kuzuia ujenzi holelaAcha upuuzi jengo ajenge engineer kujiuzulu Mama..ukome kabisa huna adabu wewe mtoto
Mama kaingiaje hapo sasa
Nguo me sijui naonaga ana jinsi za kuvunja beiNje ya mada,samahani huyu Tony anauza nini?ana vitu quality?
Labda muende bila Identity yoyote ya nembo ya chadema,Tupigwe tena badala ya kuungwa mkpono?
Anauza nguo mkuu...Nje ya mada,samahani huyu Tony anauza nini?ana vitu quality?
Kipindi hiki tutasikia mengi. Hilo jengo halikuwa na underground /basementInasemekana mmilikia alitaka kuongeza frem underground, kulikua na store akawatimia akaita team ya mafundi watindue wajengr frem za kisasa huko chini.
Ok kiongozi.Anauza nguo mkuu...
Kwenye quality hapo nisikudanganye... Maana mi nachukuaga kwa maduka ya chini pale
Daaa!yaani hata mimi nmemshangaa saana.Kwa mahaba hayo huyo hajaumia kbsaa,labda aombe uraia huko palestina huenda ndiko waliko ndugu zake anaowanea uchungu.We ajuza unazeeka vibaya!Sasa hapa na Gaza kunahusiana vipi?
Unachokifanya nisawa na kutafta umarufu msibani.Yamekuingia eeh?
Ukiondoa uwezo wa kutetea hoja bila maarifa na kuzua taharuki mwanamke hakuna anachofanya mwanaume ataweza kukifanya kikawa bora au hata kukikaribia,mwanamke anafikiri haki sawa ni kuendesha gari kama mwanaume,pikipiki kumiliki biashara japokuwa biashara zenyewe wanahongwa na wanaume etc.Mkuu, nakumbuka baadhi ya maandiko yako kwenye uchangiaji mbalimbali!
Leo tuwaulize wale wanawake wanaotaka wa haki sawa! Mwanaume na mwanamke ni sawa tu! Wameona kazi kubwa ya uokoaji hapo Kariakoo imefanywa na wanaume hapo? Wao wapo wapi? Kazi yao ilibaki kulia tu!
Kazi yao harakati nyingi semina kwa wingi kuimbisha tu eti lazima jamii itambue hakuna tofauti baina ya wanawake na wanaume kwani wote ni sawa! Haya leo kiko wapi! Kiko wapi? Waone wanaume jinsi tunavyofanya kazi hapo!
Kama wazee wetu wanavyosema: Mwanaume atabaki kuwa kichwa, kuwa kiongozi wa familia na jamii kwa ujumla.
Dah wapumzike kwa amani, kuna ndugu wa familia moja nimesikia wamekufa wawili 😢Tangu asubuhi mpk usiku huu wamepatika watu 42 tu, kati ya hao 16 ni marehemu
zingatia uhai kwanzaHakuna aliyekamatwa wala kuhojiwa.
Nchi ina taabu hii
Yani mkuu nikiwaza japo mara chache sana napita kule kwenye basement mana mimi sio muumini sana wa kuingia madukani ila nmewaza tu kitu kinashuka mko basement aisee!!! Mungu tuepushe na tunavyojazamaga vileKipindi hiki tutasikia mengi. Hilo jengo halikuwa na underground /basement