Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Dah... Watumie na mbwa wa polisi watafute watu humo.
Naangalia Yale maroboti ya mbwa nayakubali sana, hapa ndio palikuwa mahali pake Sasa. Yako Hadi maroboti ya nyoka....
Anyway, Kudos kwa juhudi. Kazi iendelee
 
Kutulia kimya nayo ni busara......
 
tumia akili kidogo tu utaelewa
 
Hivi mbona sijaona clip hata moja ya ile excavator ikifanya kazi..au wale wajeda...raia tu ndo wanawaokoa wenzao..au walienda kama maonyesho??!
unadhani hilo ni zoezi la kubeba moramu??hapo ni swala la kuokoa walio hai na sio kuopoa miili
 
Ila bongo bana, kwenye kuokoa huwa tunazingua..

Nikikumbuka Kivuko cha Ukara jinsi waokoaji walivyoenda kulala na kuacha kuokoa...

fhyfyjgybnmcj
 
Unatoka Nyumbani Unaiaga Familia Unaenda Kutafuta Chochote Kitu Then Mauti Yanakupata Sehemu Yako Ya Kupatia Ridhiki. Eeh MUNGU Baba Wapumzishe Salama Wapambanaji Wote Kwa Hili Janga Zito La Kariakoo πŸ™πŸ½
Walipangiwa watakufa hivyo Pindi tu walipozaliwa.

Yesu Mungu awapokee Sayuni.

Nyau de adriz
 
Hivi mbona sijaona clip hata moja ya ile excavator ikifanya kazi..au wale wajeda...raia tu ndo wanawaokoa wenzao..au walienda kama maonyesho??!
Halitakiwi kufanya kazi yoyote kwa sasa. Tuheshimu taaluma za watu maana si watu wote ni wafanyabiashara, wengine ni wahandisi, wengine wamesomea rescue, wengine geology nk. Tusifanye mashinikizo kwa wenye taaluma zinazohitajika
 
Hivi mbona sijaona clip hata moja ya ile excavator ikifanya kazi..au wale wajeda...raia tu ndo wanawaokoa wenzao..au walienda kama maonyesho??!
Bora kazi iliyokuwa inafanywa na raia kuokoa kuliko hao wanajeshi Nina uhakika hao raia wangepata vifaa vya uokoaji wangepiga kazi nzuri kuliko hata hao wenye magwanda.

Majeshi yetu yote training courses zao zimejaa masomo ya namna ya kupambana na wapinzani ili wasichukue nchi zaid ya hapo hamna kitu kabisa.
 
Halitakiwi kufanya kazi yoyote kwa sasa. Tuheshimu taaluma za watu maana si watu wote ni wafanyabiashara, wengine ni wahandisi, wengine wamesomea rescue, wengine geology nk. Tusifanye mashinikizo kwa wenye taaluma zinazohitajika
Safi sana..ila mwisho wa siku point ni zile zile..
Poor technology, lack of capital, political nini nini sijui etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…