Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutulia kimya nayo ni busara......Hiyo ni kauli ambayo mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameitoa asubuhi hii kupitia vyombo vya habari akiwa Kariakoo.
My take: Kwanini uwadanganye watu? Kama mmewafikia wahanga mkaweza kuwapa hivyo vitu sasa mnafanya tena jitihada zipi kuwafikia ili kuwaokoa? Si mngewachukua muondoke nao kama mmeweza kuwafikia?
Hii serikali ya Samia sijui kwanini hawataki kujisahihisha na kurudi kwenye mstari!
INaweza kupenya pipe mkuuSehemu ambayo mtungi wa gesi unapenya? Acheni siasa rahisi na uongo uongo
tumia akili kidogo tu utaelewaHiyo ni kauli ambayo mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameitoa asubuhi hii kupitia vyombo vya habari akiwa Kariakoo.
My take: Kwanini uwadanganye watu? Kama mmewafikia wahanga mkaweza kuwapa hivyo vitu sasa mnafanya tena jitihada zipi kuwafikia ili kuwaokoa? Si mngewachukua muondoke nao kama mmeweza kuwafikia?
Hii serikali ya Samia sijui kwanini hawataki kujisahihisha na kurudi kwenye mstari!
Macargo pants anauza ya kike mengiAnauza nguo mkuu...
Kwenye quality hapo nisikudanganye... Maana mi nachukuaga kwa maduka ya chini pale
unadhani hilo ni zoezi la kubeba moramu??hapo ni swala la kuokoa walio hai na sio kuopoa miiliHivi mbona sijaona clip hata moja ya ile excavator ikifanya kazi..au wale wajeda...raia tu ndo wanawaokoa wenzao..au walienda kama maonyesho??!
Mkuu wewe ni muhusika mitaa ile etMacargo pants anauza ya kike mengi
Hahaha 😀😀Naogopa hata kupita karibu na ghorofa linalojengwa, naona kama vitu vimeegeshwa tu.
Wakat wako hapo tuKama hao fire sijui kikosi cha zima moto ndiyo hovyo kupata kutokea,kuna nyumba iliungua moto hapa Kariakoo na Msimbazi kiasi cha 2½Km kutoka pale fire lakini iliteketea ikaisha.
Nimekubishia wapi sasaSasa nasema kitu nimeshuhudia kwa macho yangu wewe unanibishia kama ulikuwepo.
Mkuu wewe ni muhusika mitaa ile endio
Ndiyo mitaa yangu kuchukua bidhaa kule maghorofa ya pembeni nafuata handbagsMkuu wewe ni muhusika mitaa ile et
Walipangiwa watakufa hivyo Pindi tu walipozaliwa.Unatoka Nyumbani Unaiaga Familia Unaenda Kutafuta Chochote Kitu Then Mauti Yanakupata Sehemu Yako Ya Kupatia Ridhiki. Eeh MUNGU Baba Wapumzishe Salama Wapambanaji Wote Kwa Hili Janga Zito La Kariakoo 🙏🏽
Si kariakoo ni ya wenzetu katika imani, so wanaadhibiwa kwa kutolaani?Kutokulaaani wanayofanyiwa Wapalestina Ghaza, ndiyo tunaonjeshwa adha yake.
Halitakiwi kufanya kazi yoyote kwa sasa. Tuheshimu taaluma za watu maana si watu wote ni wafanyabiashara, wengine ni wahandisi, wengine wamesomea rescue, wengine geology nk. Tusifanye mashinikizo kwa wenye taaluma zinazohitajikaHivi mbona sijaona clip hata moja ya ile excavator ikifanya kazi..au wale wajeda...raia tu ndo wanawaokoa wenzao..au walienda kama maonyesho??!
Bora kazi iliyokuwa inafanywa na raia kuokoa kuliko hao wanajeshi Nina uhakika hao raia wangepata vifaa vya uokoaji wangepiga kazi nzuri kuliko hata hao wenye magwanda.Hivi mbona sijaona clip hata moja ya ile excavator ikifanya kazi..au wale wajeda...raia tu ndo wanawaokoa wenzao..au walienda kama maonyesho??!
Safi sana..ila mwisho wa siku point ni zile zile..Halitakiwi kufanya kazi yoyote kwa sasa. Tuheshimu taaluma za watu maana si watu wote ni wafanyabiashara, wengine ni wahandisi, wengine wamesomea rescue, wengine geology nk. Tusifanye mashinikizo kwa wenye taaluma zinazohitajika