Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Ila bongo bana, kwenye kuokoa huwa tunazingua..

Nikikumbuka Kivuko cha Ukara jinsi waokoaji walivyoenda kulala na kuacha kuokoa...

fhyfyjgybnmcj
Nakumbuka hii mkuu, yaani watu wamezama kwenye maji halafu Kuna likiongozi likasema "tumesitisha zoezi la uokoaji kwa kuwa muda eenda tutaendelea kesho asubuhi", na hapo watu wapo kwenye maji
 
WaTanzania tuna moyo sana. Kuna binti (Niffer) mtandaoni keshakusanya mil 20 kwa ajili ya kusaidia wahanga na waokoaji. Well done poleni wahanga Mungu azidi kuwapa imani ambao bado hawajaokolewa
 
50 kwa 50 ni siasa ya kudunia tu. Mwenye bengu na mwenye shamba nani wamaana.? Akili kumkichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…