King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Inasikitisha sana kwa kweli....Nawaomba waongeze oxygen huku wakiendelea kupambana kuwaokoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuwaambie wenye uchungu na maisha waje watusaidie maana kwetu usirious ni mdogoKwamba tuwaambie Scotland yard
Nakumbuka hii mkuu, yaani watu wamezama kwenye maji halafu Kuna likiongozi likasema "tumesitisha zoezi la uokoaji kwa kuwa muda eenda tutaendelea kesho asubuhi", na hapo watu wapo kwenye majiIla bongo bana, kwenye kuokoa huwa tunazingua..
Nikikumbuka Kivuko cha Ukara jinsi waokoaji walivyoenda kulala na kuacha kuokoa...
fhyfyjgybnmcj
Naona kama wamevalia sale za uokoaji eeh!Hawa ndiyo Samia anawategemea!View attachment 3154717
Kutukana watu, ni dalili haumudu challenge,Mwehu ni baba na Mama yako waliozaa tahira kama wewe.
Hakika watu waaache shobousilazimishe kuonekana,
let nature decide...
50/50 wanayodai wanawake haionekani kariakoo. Mwanaume apewe heshima yake Mungu sio mwanadamu kumfanya mwanaume kichwa (ukuu) na moyo wa ubaba
Michango imeanzaWaTanzania tuna moyo sana. Kuna binti (Niffer) mtandaoni keshakusanya mil 20 kwa ajili ya kusaidia wahanga na waokoaji. Well done poleni wahanga Mungu azidi kuwapa imani ambao bado hawajaokolewa
Nn😂😂KHe weee nae🤣