Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

"Awamu ya sita Uhuru wa vyombo vya habari umeimarika" limasomeka Bango moja huko mjini!

Hakuna chombo kinachosema idadi ya vifo vya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo,
Hakuna chombo kinaripoti kutokea eneo la tukio...
Kwhy Unataka waandishi wakakae pale na camera zao wanasubr maiti kwenye kifusi ipigwe picha au unatakaje? Halaf idadi kamili itajulikana vipi Hali ya kuwa kifusi hawajamaliza kukitoa?
 
jamani mbona vijana tu ndo wamekufa? hii biashara ya kuwaambia vijana wajiajiri ndo wanaishia kuwa mawinga kwenye mazingira hatarishi
Mm nilifikiria hili jambo tokea juz halafu ile asb vijana wanah qazee bado wapo vitandani lakn mungu ni mwema tukio lingeķua around saa 6 au saba ingekua zaid maafa
 
Mmoja amepumzishwa yule mdogo mtu amepatikana????
1732479249153.png
 
Hilo ni swali au jibu? Hukuona live coverage ya jengo lililoanguka kwa majirani zetu?
Majiran gan? Lile la Kenya? Mbona halikuwa na watu? Halafu muda mwingne tumia akili fupi tu, hvi wewe catapila inatoa kifusi pale wewe ukae nyumbn Kwako kwenye tv unakodolea macho, mara paaap! Wamechimbua kichwa Cha mtu, bado waonyeshe tu live? Haya hizo maiti unaambiwa zishaanza kuharibika, zinaopolewa kutoka kweny kifusi waonyeshe kweny tv kisa majiran walionyesha?
 
Sielewi kwanini wanajeshi wamemwagwa kuanzia pale kituo cha mwendokasi Msimbazi mpaka Round about ya Uhuru.

Halafu wanatumia fimbo kuwapiga raia .
 
Wasije wakaweka watu kama Profesa wa vinyesi wa kule Mara
 
Duh poleni...
Hili jengo lumeondoka na wengi
Nimeambiwa hata wale jamaa
Waliyokuwa na biashara ya mpesa tigo pesa kwenye jengo hilo wamengoka dah na walikuwa na mzigo kweri kweri

Ova
Ahsante, pesa ndio nyingi.
Huyo marehemu Ney dukani alilaza million 90
 
Ahsante, pesa ndio nyingi.
Huyo marehemu Ney dukani alilaza million 90
Ndomana kifusi kilikuwa kinahamishwa 😄
Nliuliza swali humu?je kifusi kutoka
Hapo wanakwenda kukimwaga wapi sikupata jibu...

Ova
 
Ndomana kifusi kilikuwa kinahamishwa 😄
Nliuliza swali humu?je kifusi kutoka
Hapo wanakwenda kukimwaga wapi sikupata jibu...

Ova
Walikimwaga mbuyuni, raia walijaa wanasalaula km wapo karume 😹😹

Ila nahisi kifusi chenyewe hawakukimwaga huko..!
Kaka wa marehemu hata kwenye mazishi hatukuwa naye familia walimwambia akae eneo la tukio kulinda mzigo..
 
Back
Top Bottom