Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
"Awamu ya sita Uhuru wa vyombo vya habari umeimarika" limasomeka Bango moja huko mjini!
Hakuna chombo kinachosema idadi ya vifo vya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo,
Hakuna chombo kinaripoti kutokea eneo la tukio...
Kwhy Unataka waandishi wakakae pale na camera zao wanasubr maiti kwenye kifusi ipigwe picha au unatakaje? Halaf idadi kamili itajulikana vipi Hali ya kuwa kifusi hawajamaliza kukitoa?"Awamu ya sita Uhuru wa vyombo vya habari umeimarika" limasomeka Bango moja huko mjini!
Hakuna chombo kinachosema idadi ya vifo vya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo,
Hakuna chombo kinaripoti kutokea eneo la tukio...
Hilo ni swali au jibu? Hukuona live coverage ya jengo lililoanguka kwa majirani zetu?Kwhy Unataka waandishi wakakae pale na camera zao wanasubr maiti kwenye kifusi ipigwe picha au unatakaje? Halaf idadi kamili itajulikana vipi Hali ya kuwa kifusi hawajamaliza kukitoa?
Dah poleni sana Bro na poleni familia ya ISSA. Mungu akurehemu tangulia tutakuja kuonana ukiwa tayari mwenyeji.
Mm nilifikiria hili jambo tokea juz halafu ile asb vijana wanah qazee bado wapo vitandani lakn mungu ni mwema tukio lingeÄ·ua around saa 6 au saba ingekua zaid maafajamani mbona vijana tu ndo wamekufa? hii biashara ya kuwaambia vijana wajiajiri ndo wanaishia kuwa mawinga kwenye mazingira hatarishi
Mmoja amepumzishwa yule mdogo mtu amepatikana????
Majiran gan? Lile la Kenya? Mbona halikuwa na watu? Halafu muda mwingne tumia akili fupi tu, hvi wewe catapila inatoa kifusi pale wewe ukae nyumbn Kwako kwenye tv unakodolea macho, mara paaap! Wamechimbua kichwa Cha mtu, bado waonyeshe tu live? Haya hizo maiti unaambiwa zishaanza kuharibika, zinaopolewa kutoka kweny kifusi waonyeshe kweny tv kisa majiran walionyesha?Hilo ni swali au jibu? Hukuona live coverage ya jengo lililoanguka kwa majirani zetu?
Very touching.
Ahsante ma.Poleni jamani.
Ahsante, pesa ndio nyingi.Duh poleni...
Hili jengo lumeondoka na wengi
Nimeambiwa hata wale jamaa
Waliyokuwa na biashara ya mpesa tigo pesa kwenye jengo hilo wamengoka dah na walikuwa na mzigo kweri kweri
Ova
Ndomana kifusi kilikuwa kinahamishwa 😄Ahsante, pesa ndio nyingi.
Huyo marehemu Ney dukani alilaza million 90
Walikimwaga mbuyuni, raia walijaa wanasalaula km wapo karume 😹😹Ndomana kifusi kilikuwa kinahamishwa 😄
Nliuliza swali humu?je kifusi kutoka
Hapo wanakwenda kukimwaga wapi sikupata jibu...
Ova
Yeah alinusurika, nahisi alikuwa kwenye BAN tu.Vipi Mshangazi umenusurika?