Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Waziri Mkuu aunda Tume ya watu maalumu 21 - Nov 22, 2024

images (2).jpeg

Nimeipost ila naogopa😁🙌
 
Hili ni pendekezo langu kama mtanzania ninayejali watanzania wenzangu na mali zao. Tangu jana watu wapo ground na wanazidi kuhangaika kwa hewa, kiu na njaa plus joto la Pwani. Kuna haja Sasa ya kuitarifu jumuia ya kimataifa iongeze nguvu maana sisi tumezidiwa.

Amani na upendo wetu uimarike zaidi katika kipindi hiki. Maisha ya furaha yawe miongoni mwetu sote.
Kwa wale waliotutoka walale mahali pema peponi.
 
Back
Top Bottom