Kuporomoka kwa ghorofa na kusababisha Vifo na majeruhi kwawaumiza na kuwabubujisha Machozi ya huzuni wana CCM Mitaani

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya.

Tukio hilo limegusa hisia na kuwapa simanzi kubwa sana wana CCM.ambapo nimeshuhudia wengine wakishindwa hata kuficha hisia zao za uchungu na kuishia kububujikwa na machozi ya huzuni na maumivu walipokuwa wanafuatilia shughuli nzima za uokoaji.zilizokuwa zikifanywa na watu mbalimbali kama ilivyo kawaida ya watanzania kushikamana na kushirikiana yanapotokea matukio ya namna hiyo yenye kugusa Maisha ya watu.

Wana CCM hao wamewaomba Watanzania na wadau mbalimbali kuendelea kushirikiana na kuungana kwa pamoja wakati huu kuwasaidia wenzetu waliopata na mkasa huu.lakini pia kuwaombea wale waliopata na majeraha kupona kwa haraka. Wana CCM hao wamewaomba Watanzania kuwa huu ni wakati wa kuungana na kushirikiana kwa pamoja na siyo kulaumiana au kunyoosheana vidole vya lawama.

Lakini pia wana CCM hao niliozungumza nao wametoa rai kwa mamlaka zinazohusika, kufanya ukaguzi wa kina kwa majengo yote marefu yaliyopo mijini na yale yanayoendelea kujengwa ,ili kujiridhisha ubora wake na usalama wake kwa watu mbalimbali wanaozunguka maeneo hayo. Lakini pia wametoa rai na kuomba kuwa ukaguzi ufanyike katika kila hatua za ujenzi wa jengo lolote lile kubwa linaloanza kujengwa..

Wameendelea kusema ya kuwa wale wanaotaka kubomoa na kujenga upya ,basi tahadhari kubwa ichukuliwe ya kuhakikisha kuwa madhara hayatokei kwa watu. Hii ni pamoja na kufanya tathmini juu ya nyenzo za kuzuia ajali au kuporomoka kwa ghafla kwa jengo,kuweka kingo zitakazozuia kutokea kwa madhara kwa watu wanaoishi au kufanyia shughuli zao karibu na jengo husika linalohitajika kubomolewa kwa ajili ya ujenzi mpya au ukarabati Mkubwa.
 
Tukio hilo limegusa na kuwapa simanzi kubwa sana wana CCM.ambapo nimeshuhudia wengine wakishindwa hata kuficha hisia zao za uchungu na kuishia kububujikwa na machozi ya huzuni na maumivu walipokuwa wanafuatilia shughuli nzima za uokoaji.zilizokuwa zikifanywa na watu mbalimbali kama ilivyo kawaida ya watanzania kushikamana na kushirikiana yanapotokea matukio ya namna hiyo yenye kugusa Maisha ya watu.

Wana CCM hao wamewaomba Watanzania na wadau mbalimbali kuendelea kushirikiana na kuungana kwa pamoja wakati huu kuwasaidia wenzetu waliopata na mkasa huu.lakini pia kuwaombea wale waliopata na majeraha kupona kwa haraka. Wana CCM hao wamewaomba Watanzania kuwa huu ni wakati wa kuungana na kushirikiana na siyo kulaumiana au kunyoosheana vidole vya lawama.

Lakini pia wana CCM hao niliozungumza nao wametoa rai kwa mamlaka zinazohusika kufanya ukaguzi wa kina kwa majengo yote marefu yaliyopo mijini na yake yanayoendelea kujengwa ,ili kujiridhisha ubora wake na usalama wake kwa watu mbalimbali wanaozunguka maeneo hayo. Lakini pia wametoa rai na kuomba kuwa ukaguzi ufanyike katika kila hatua za ujenzi wa jengo lolote lile kubwa.

Wameendelea kusema ya kuwa wale wanaotaka kubomoa na kujenga upya ,basi tahadhari kubwa ichukuliwe ya kuhakikisha kuwa madhara hayatokei kwa watu. Hii ni pamoja na kufanya tathmini juu ya nyenzo za kuzuia ajali au kuporomoka kwa ghafla kwa jengo,kuweka kingo zitakazozuia kutokea kwa madhara kwa watu wanaoishi au kufanyia shughuli zao karibu na jengo husika linalohitajika kubomolewa kwa ajili ya ujenzi mpya au ukarabati Mkubwa
Pls fuk your politics off, kuwa na adab , si kila kitu ni kuweka siasa siasa. People lives are at risk
 
Nonsense
 
Wazazi wako kweli walizaa.

Wazazi wengine wanajifungua😃
 
Nimeandika nikafuta nikaandika nikafuta.

Hii nchi usipokuwa kichaa kuishi itakuwia vigumu sana kama wananchi wenyewe ni kama hawa.
Bila shaka una matatizo makubwa sana kichwani mwako.na ndio Maana unaona ulivyo wewe unataka na watanzania wengine nao wawe vichaa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya.

Tukio hilo limegusa hisia na kuwapa simanzi kubwa sana wana CCM.ambapo nimeshuhudia wengine wakishindwa hata kuficha hisia zao za uchungu na kuishia kububujikwa na machozi ya huzuni na maumivu walipokuwa wanafuatilia shughuli nzima za uokoaji.zilizokuwa zikifanywa na watu mbalimbali kama ilivyo kawaida ya watanzania kushikamana na kushirikiana yanapotokea matukio ya namna hiyo yenye kugusa Maisha ya watu.

Wana CCM hao wamewaomba Watanzania na wadau mbalimbali kuendelea kushirikiana na kuungana kwa pamoja wakati huu kuwasaidia wenzetu waliopata na mkasa huu.lakini pia kuwaombea wale waliopata na majeraha kupona kwa haraka. Wana CCM hao wamewaomba Watanzania kuwa huu ni wakati wa kuungana na kushirikiana kwa pamoja na siyo kulaumiana au kunyoosheana vidole vya lawama.

Lakini pia wana CCM hao niliozungumza nao wametoa rai kwa mamlaka zinazohusika, kufanya ukaguzi wa kina kwa majengo yote marefu yaliyopo mijini na yale yanayoendelea kujengwa ,ili kujiridhisha ubora wake na usalama wake kwa watu mbalimbali wanaozunguka maeneo hayo. Lakini pia wametoa rai na kuomba kuwa ukaguzi ufanyike katika kila hatua za ujenzi wa jengo lolote lile kubwa linaloanza kujengwa..

Wameendelea kusema ya kuwa wale wanaotaka kubomoa na kujenga upya ,basi tahadhari kubwa ichukuliwe ya kuhakikisha kuwa madhara hayatokei kwa watu. Hii ni pamoja na kufanya tathmini juu ya nyenzo za kuzuia ajali au kuporomoka kwa ghafla kwa jengo,kuweka kingo zitakazozuia kutokea kwa madhara kwa watu wanaoishi au kufanyia shughuli zao karibu na jengo husika linalohitajika kubomolewa kwa ajili ya ujenzi mpya au ukarabati Mkubwa.
Looh!
Huna hata aibu?
 
Maxence Melo Moderator futeni hii takataka husasi katika kipindi hiki ambacho si cha kufanya dhihaka kwenye roho za watu na mali zao
 
Back
Top Bottom