Kuporomoka kwa ghorofa na kusababisha Vifo na majeruhi kwawaumiza na kuwabubujisha Machozi ya huzuni wana CCM Mitaani

Leo mama hajakufikia?
 
labda nikuulize kwa kutumia akili uliyopewa na Mwenyezi Mungu,unazani nini kilichosababisha ghorofa kuanguka?
 
Lucas Mwashambwa the headless chicken!
 
labda nikuulize kwa kutumia akili uliyopewa na Mwenyezi Mungu,unazani nini kilichosababisha ghorofa kuanguka?
Nimesema na kuandika kuwa huu si wakati wa kutupiana lawama wala kunyoosheana vidole vya lawama.
 
Bila shaka una matatizo makubwa sana kichwani mwako.na ndio Maana unaona ulivyo wewe unataka na watanzania wengine nao wawe vichaa.
Wawe vichaa mara ngapi???

Wewe mwenyewe unajiona mzima?kama ndugu yangu tunavyoongea hapa ungekuwa umeshakula manila haraka Mirembe ukatibiwe,haupo sawa kabisa na hivi wanakucheleweshea uteuzi siyo muda utaokota makopo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila comment za watu humu ndani daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…