Wewe sio chawa ila ni kupe.Mimi siyo chawa
jeSawa . Wapi alipo mwenyekiti wa taifa?
Nani alitoa vibali?
Uokoaji ulianza muda gani baada ya tukio kutokea???
Chawa Pro max katika Ubora wakoNdugu zangu Watanzania,
Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya.
Tukio hilo limegusa hisia na kuwapa simanzi kubwa sana wana CCM.ambapo nimeshuhudia wengine wakishindwa hata kuficha hisia zao za uchungu na kuishia kububujikwa na machozi ya huzuni na maumivu walipokuwa wanafuatilia shughuli nzima za uokoaji.zilizokuwa zikifanywa na watu mbalimbali kama ilivyo kawaida ya watanzania kushikamana na kushirikiana yanapotokea matukio ya namna hiyo yenye kugusa Maisha ya watu.
Wana CCM hao wamewaomba Watanzania na wadau mbalimbali kuendelea kushirikiana na kuungana kwa pamoja wakati huu kuwasaidia wenzetu waliopata na mkasa huu.lakini pia kuwaombea wale waliopata na majeraha kupona kwa haraka. Wana CCM hao wamewaomba Watanzania kuwa huu ni wakati wa kuungana na kushirikiana kwa pamoja na siyo kulaumiana au kunyoosheana vidole vya lawama.
Lakini pia wana CCM hao niliozungumza nao wametoa rai kwa mamlaka zinazohusika, kufanya ukaguzi wa kina kwa majengo yote marefu yaliyopo mijini na yale yanayoendelea kujengwa ,ili kujiridhisha ubora wake na usalama wake kwa watu mbalimbali wanaozunguka maeneo hayo. Lakini pia wametoa rai na kuomba kuwa ukaguzi ufanyike katika kila hatua za ujenzi wa jengo lolote lile kubwa linaloanza kujengwa..
Wameendelea kusema ya kuwa wale wanaotaka kubomoa na kujenga upya ,basi tahadhari kubwa ichukuliwe ya kuhakikisha kuwa madhara hayatokei kwa watu. Hii ni pamoja na kufanya tathmini juu ya nyenzo za kuzuia ajali au kuporomoka kwa ghafla kwa jengo,kuweka kingo zitakazozuia kutokea kwa madhara kwa watu wanaoishi au kufanyia shughuli zao karibu na jengo husika linalohitajika kubomolewa kwa ajili ya ujenzi mpya au ukarabati Mkubwa.
Uwe na subiraBila video taarifa hii ni batili
😂😂😂😂😂UwiiiiiSio miguuni zipo matakon
Hili halina akili kabisaChawa @ work
Huyo bwana nadhani ni mental case. Nadhani ni pschophrenic case. Kuna mambo ya kitaifa na mambo ya uchawa. Kama Mungu angekuwa anajua majitu kama haya " akina Lucas", yangekuwa miongoni mwa wale wanaopitia maumivu magumu ya kufukiwa na kifusi labda yangeweza kubadilikaWewe nguchiro unapenda sifa za kijinga sana. Hivi unajua kufiwa wewe? Unaleta huu upuuzi wako, watu wanalia msiba muda huu. Watu wako kwenye kifusi, wengine wakivuta pumzi zao za mwisho, bila msaada wowote. Acha kutafuta kiki kwa vitu vimegusa Taifa zima. Endelea na hao majuha wenzako, sijui ni lijitu la aina gani wewe.
Uwe na adabu dogoHili halina akili kabisa
Kazi ni kipimo cha utu.naishi kwa jasho languDa ila we jamaa utakuwa unaishi kwa kutegemea Ccm .
Watu wanakushutumu bure mzee .Najua unapambania tumbo.
Acha ushoga waliokufa ni wana Chadema.Ndugu zangu Watanzania,
Nimekutana na kufanya mazungumzo na wana CCM wenzangu mitaani .ambapo wana CCM mbalimbali kutoka maeneo mbalimbali wameumizwa na kuumia sana mioyo yao kutokana na kuporomoka kwa Ghorofa kulikopelekea baadhi ya watu kupoteza Maisha na wengine kujeruhiwa vibaya.
Tukio hilo limegusa hisia na kuwapa simanzi kubwa sana wana CCM.ambapo nimeshuhudia wengine wakishindwa hata kuficha hisia zao za uchungu na kuishia kububujikwa na machozi ya huzuni na maumivu walipokuwa wanafuatilia shughuli nzima za uokoaji.zilizokuwa zikifanywa na watu mbalimbali kama ilivyo kawaida ya watanzania kushikamana na kushirikiana yanapotokea matukio ya namna hiyo yenye kugusa Maisha ya watu.
Wana CCM hao wamewaomba Watanzania na wadau mbalimbali kuendelea kushirikiana na kuungana kwa pamoja wakati huu kuwasaidia wenzetu waliopata na mkasa huu.lakini pia kuwaombea wale waliopata na majeraha kupona kwa haraka. Wana CCM hao wamewaomba Watanzania kuwa huu ni wakati wa kuungana na kushirikiana kwa pamoja na siyo kulaumiana au kunyoosheana vidole vya lawama.
Lakini pia wana CCM hao niliozungumza nao wametoa rai kwa mamlaka zinazohusika, kufanya ukaguzi wa kina kwa majengo yote marefu yaliyopo mijini na yale yanayoendelea kujengwa ,ili kujiridhisha ubora wake na usalama wake kwa watu mbalimbali wanaozunguka maeneo hayo. Lakini pia wametoa rai na kuomba kuwa ukaguzi ufanyike katika kila hatua za ujenzi wa jengo lolote lile kubwa linaloanza kujengwa..
Wameendelea kusema ya kuwa wale wanaotaka kubomoa na kujenga upya ,basi tahadhari kubwa ichukuliwe ya kuhakikisha kuwa madhara hayatokei kwa watu. Hii ni pamoja na kufanya tathmini juu ya nyenzo za kuzuia ajali au kuporomoka kwa ghafla kwa jengo,kuweka kingo zitakazozuia kutokea kwa madhara kwa watu wanaoishi au kufanyia shughuli zao karibu na jengo husika linalohitajika kubomolewa kwa ajili ya ujenzi mpya au ukarabati Mkubwa.
Naunga mkono hoja.Hii Kenge uzi wake teache kukoment ataacha kuandika mashudu! Huyu hata umtukane vipi ili mradi uzi unatembea ataendelea kuandika mashudu yake. My last comment kwenye ujinga wake:
Ningekuwa MUNGU kwenye lile gorofa wewe ndiyo ulitakiwa ufukiwe humo ufeUwe na adabu dogo
Mimi nikajua hupoNingekuwa MUNGU kwenye lile gorofa wewe ndiyo ulitakiwa ufukiwe humo ufe