huu ndo muda muafaka wa kununua na kuuza bidhaa ndani. hii importation kila siku inachangia sana kutugarimu kama taifa.
yabaki yale ya lazima tu kama mafuta. ila tabia ya kuagiza mpaka fenicha za ndani malaysia au kule bondeni ikome kabisa.
Halafu mazezeta yamekazana kuimba serikali sikivu serikali sikivu ptuuuuuu

Are you serious kwa unayoyasema?huu ndo muda muafaka wa kununua na kuuza bidhaa ndani. hii importation kila siku inachangia sana kutugarimu kama taifa.
yabaki yale ya lazima tu kama mafuta. ila tabia ya kuagiza mpaka fenicha za ndani malaysia au kule bondeni ikome kabisa.
Halafu hao wafanyibiashara si ndiyo wanajifanyaga ndiyo wafafadhili wakubwa wa magamba?Kupanda kwa US dola nakuporomoka kwa Tsh.kumesababisha bizaa zinazotoka njee kupanda bei nahivyo kusababisha mauzo kua chini kwan wateja wanashindwa kufanya manunuz kwawing kama ilivyokua hapo awal nakwawale wenye mitaj midogo wanaoagiza mizigo njee wamejikuta wamekwama hawawez kuagiza tena mizigo kwan mitaji yao huwa kiduchu
pindi wanapochench shiling kua dola kama awal alikua anaingiza kontena 3 kwahali ilivyo sasa atamudu kuingiza mbil
Halafu mazezeta yamekazana kuimba serikali sikivu serikali sikivu ptuuuuuu
Hiyo rekodi anayo jivunia ni ya kupisha deni la taifa na kuporomosha hela ya madafu. Kwa haya lazima ajivune saana.Halafu na yule nanihii Mkazi wa ule mtaa maarufu bila hata aibu eti anatamka hadharani, "Najivunia rekodi yangu"
Hiyo rekodi anayo jivunia ni ya kupisha deni la taifa na kuporomosha hela ya madafu. Kwa haya lazima ajivune saana.
huu ndo muda muafaka wa kununua na kuuza bidhaa ndani. hii importation kila siku inachangia sana kutugarimu kama taifa.
yabaki yale ya lazima tu kama mafuta. ila tabia ya kuagiza mpaka fenicha za ndani malaysia au kule bondeni ikome kabisa.
huu ndo muda muafaka wa kununua na kuuza bidhaa ndani. hii importation kila siku inachangia sana kutugarimu kama taifa.
yabaki yale ya lazima tu kama mafuta. ila tabia ya kuagiza mpaka fenicha za ndani malaysia au kule bondeni ikome kabisa.
hivi hujui hata mafenicha ya majumbani na maofisini tunaagiza kutoka ughaibuni? mpaka toothpick? nguo nakadhalika, au wewe unaishi nchi gani?Bidhaa zipi? Kwa viwanda vipi? Maji ya uhai? Sabuni za ukwaju? Tuache usanii. Tumeua viwanda halafu tunatamba tununue bidhaa za ndani?
hivi hujui hata mafenicha ya majumbani na maofisini tunaagiza kutoka ughaibuni? mpaka toothpick? nguo nakadhalika, au wewe unaishi nchi gani?Sisi tunazalisha nini kwamba tunaweza kujitegemea kila kitu? Labda ungesema kuongeza kodi kwa bidhaa inayopatikana hapa TZ. Kuongezeka kwa USD kunaumiza tunapotaka kununu bidhaa ambazo hazizalishwi Tanzania.
Are you serious kwa unayoyasema?
Hivi serikali hii iliyopiga bei viwanda vyetu vyote vikubwa vya nguo kama vile Urafiki, Mwatex,Mutex, Sunguratex, Morogoro Polyster na vingine vingi tu hadi hivi sasa pamoja na nchi yetu kuwa ni miongoni ya nchi ambazo tunalima pamba kwa wingi, lakini tumefikia hatua ya kuimport hadi handkerchiefs, socks na underpants toka China, halafu wakati huo huo hatuexport chochote cha maana nje, halafu wakati huo huo tunajifanya 'hamnazo' eti hatujui sababu ya kushuka kwa shilingi yetu?!
Kweli nimeamini aliyeturoga waTz alishakufa kitambo, kwa hiyo hakuna uwezekano wowote wa kumpata 'mganga' yeyote atakayeweza 'kutuopoa' na mauganga tuliyorogerezwa nayo!
mbona una kichwa kigumu sana wewe. nimetolea mfano kama fenicha za ndani ambazo kiuhalisia ukienda pale manzese utapata nzuri tu. au unaweza kuweka hata oda. sasa huelewi nini hapo?Mfano mmoja hiyo sim unayotumia ni made in kivule sio?
Unang'ang'ania fenicha tu tuambie na bidhaa nyingine zinazopatikana humu humu ili tusiendelee kuagiza hizo za nje. Mfano wazi nenda kwenye duka la mangi mtaani kwenu kama si unga mchele maharage ndo vya hapa nyumbani vilivyobaki ni kutoka nje mpaka wembe hata pamba za masikioni. Labda mwenzetu una vwanda vyako mfukoni au nyumbani kwako tujulishe tuje tukanunue!!hivi hujui hata mafenicha ya majumbani na maofisini tunaagiza kutoka ughaibuni? mpaka toothpick? nguo nakadhalika, au wewe unaishi nchi gani?
tunahitaji vitu vichache tu kuagiza nje ambavyo hatuwezi kuwa navyo hapa kama nishati. the rest we can consume from our own.
hivi hujui hata mafenicha ya majumbani na maofisini tunaagiza kutoka ughaibuni? mpaka toothpick? nguo nakadhalika, au wewe unaishi nchi gani?
tunahitaji vitu vichache tu kuagiza nje ambavyo hatuwezi kuwa navyo hapa kama nishati. the rest we can consume from our own.
mbona una kichwa kigumu sana wewe. nimetolea mfano kama fenicha za ndani ambazo kiuhalisia ukienda pale manzese utapata nzuri tu. au unaweza kuweka hata oda. sasa huelewi nini hapo?