Mrmkata
Member
- Apr 16, 2015
- 83
- 19
Kupanda kwa US dola nakuporomoka kwa Tsh.kumesababisha bizaa zinazotoka njee kupanda bei nahivyo kusababisha mauzo kua chini kwan wateja wanashindwa kufanya manunuz kwawing kama ilivyokua hapo awal nakwawale wenye mitaj midogo wanaoagiza mizigo njee wamejikuta wamekwama hawawez kuagiza tena mizigo kwan mitaji yao huwa kiduchu
pindi wanapochench shiling kua dola kama awal alikua anaingiza kontena 3 kwahali ilivyo sasa atamudu kuingiza mbil
pindi wanapochench shiling kua dola kama awal alikua anaingiza kontena 3 kwahali ilivyo sasa atamudu kuingiza mbil