ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Meli inazamaje kutoka 67 Hadi 85?bi chura kiziwi kizimkaz
anazamisha meli kimya kimya
Kuwa landlocked na Uchumi wapi na wapi?M7 Keshatufikia na ni land locked
Tutuba oyeeeeeeKwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na IMF imeonesha kwamba Tanzania imeshuka kutoka 10 Bora ya Nchi Zenye Uchumi Mkubwa Afrika Hadi kuwa namba 11 ikipitwa na Nchi za Ghana huku ikikaeibiwa zaidi na DRC.
Kwa mujibu wa Wachumi,kilichosababisha kuporomoka Kushuka ni kuporomoka Kwa Thamani ya Sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ambayo ndio inatumika kukokotoa Ukubwa wa Uchumi wa Nchi.
Hata hivyo ielewe kwamba Uchumi wa Tanzania umeongezeka kutoka USD 67bln (2021) Hadi USD 85bln (2025) lakini kuyumba Kwa Shilingi kumechangia kuwa Nje ya Top 10.
View attachment 3313023
My Take
Juhudi za Kuimarisha thamani ya Shilingi ziendelee.
View attachment 3313024
MamaSamia2025 amefeli kabisa kiuchumiKwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na IMF imeonesha kwamba Tanzania imeshuka kutoka 10 Bora ya Nchi Zenye Uchumi Mkubwa Afrika Hadi kuwa namba 11 ikipitwa na Nchi za Ghana huku ikikaeibiwa zaidi na DRC.
Kwa mujibu wa Wachumi,kilichosababisha kuporomoka Kushuka ni kuporomoka Kwa Thamani ya Sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ambayo ndio inatumika kukokotoa Ukubwa wa Uchumi wa Nchi.
Hata hivyo ielewe kwamba Uchumi wa Tanzania umeongezeka kutoka USD 67bln (2021) Hadi USD 85bln (2025) lakini kuyumba Kwa Shilingi kumechangia kuwa Nje ya Top 10.
Full report hapa World Economic Outlook - All Issues
View attachment 3313023
My Take
Juhudi za Kuimarisha thamani ya Shilingi ziendelee.
View attachment 3313024
Unajua maana ya kufeli kweli wewe?MamaSamia2025 amefeli kabisa kiuchumi
Kwani Kuna siku haijawahi kuwa maskini? Rwanda NJ mafukara achana na kelele za mitandaoni,hakuna kitu kule.Mkeka pia inaonyesha Rwanda ni nchi masikini.
Nani Sasa aache ujinga? Mimi au IMF? Harafu wale ni Wataalamu sio mbulula kama wewe.Ifike wakati uache ujinga.
Gdp ya nigeria imeshuka mpaka $188 bn kutoka $400+ bn ??
Ghana ime jump kutoka $60+ mpaka $88bn ?
Leo hii kenya inauchumi mkubwa kuliko Ethiopia?
Ukisikia kutumia kichwa kama round about ya hewa ndio huko.
Niambie kiwango chetu cha kuuza nje kwanini ni kidogo sana licha ya kwamba tuna rasilimali nyingi?Unajua maana ya kufeli kweli wewe?