Kuporomoka kwa thamani ya Sarafu ya Tanzania yaishusha Kiuchumi hadi namba 11 Afrika

Kuporomoka kwa thamani ya Sarafu ya Tanzania yaishusha Kiuchumi hadi namba 11 Afrika

Yule jamaa anayeitwa Tumbili mbona alituambia hicho unachosema hakina madhara? Imekuwaje tena leo unatuambia thamani ya shillingi imesababisha GDP kushuka?
Hakina madhara in real terms ila kina athari kwenye kikokotoo.

Yaani anachosema ni kwamba hakizuii uchumi Kukua
 
Watu wengi mnakosa ufahamu!!

Hata dollar ina-depreciate. Ili kujua dollar billion85 ya mwaka huu ni kubwa kuliko dollar billion 67 ya miaka miwili iliyopita, ni lazima ujue dollar ime-depreciate kwa kiasi gani.
Sawa ila tuna deal na current market price
 
Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na IMF imeonesha kwamba Tanzania imeshuka kutoka 10 Bora ya Nchi Zenye Uchumi Mkubwa Afrika Hadi kuwa namba 11 ikipitwa na Nchi za Ghana huku ikikaeibiwa zaidi na DRC.

Kwa mujibu wa Wachumi,kilichosababisha kuporomoka Kushuka ni kuporomoka Kwa Thamani ya Sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ambayo ndio inatumika kukokotoa Ukubwa wa Uchumi wa Nchi.

Hata hivyo ielewe kwamba Uchumi wa Tanzania umeongezeka kutoka USD 67bln (2021) Hadi USD 85bln (2025) lakini kuyumba Kwa Shilingi kumechangia kuwa Nje ya Top 10.

Full report hapa World Economic Outlook - All Issues
View attachment 3313023

My Take
Juhudi za Kuimarisha thamani ya Shilingi ziendelee.

Ni vyema pia ikaeleweka kwamba IMF wametoa kinachoitwa Matarajio (Outlook) ya mwaka 2025.

July mwaka huu WB itatoa takwimu halisi za Kiuchumi (GDP) Kwa mwaka wa 2024.
View attachment 3313024
Samia anatakiwa kuondolewa kwa nguvu madarakani haraka sana ...huyu mpuzi aliwai kusema kuwa uchumi utashuka kidogo kisha utapanda...toka tutoke uchumi wa kati hadi leo tunazidi kudondoka ...bwawa la umeme limekamilika kashindwa kushusha bei ya umeme kwa asilimia 50% ili kukuza uchumi ...
 
M7 Keshatufikia na ni land locked
M7 hacheki na kima wanaomkwamisha km Besigye, Bob Wine na mama asicheke na hao vibaraka ndio wa kwanza kuja kumkebehi humu. Asipoteze muda ktk kt kinaitwa maridhiano, asisikilize kelele yyte akiona uwekezaji unaolipa hawana wema hao wako kukukwamisha waje kukutukana
 
In fact Limeongezeka sana kipindi cha Samia Kwa sababu ya uwekezaji wa viwanda na Kukua Kwa Kilimo.

Uchumi kutoka 67 Hadi 85 ni kufeli?

Soma hapa 👇 👇

View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1913604647622983865?t=sd6gxs4tqDf2gjHrAtcnig&s=19

Na hapa 👇 👇

View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1910168331061170557?t=Vw0_rM6EpY9Rn2lsIlquNw&s=19

Mwisho Kuna kazi ya kufanya katika kudhibiti kushuka Kwa Shilingi hata hivyo miradi mikubwa inayoendelea ndio sababu kuu.

Kila siku mnasingizia miradi mikubwa ndio sababu ya thamani ya shilingi kushuka ; ndio sababu ya deni la Taifa kupaa lakini hata siku moja hamna ujasiri wa kusema utawala wenu wa kifisadi ndio sababu kubwa ya matatizo yote hayo! Angalia kwa Mfano madeni ya Air Tanzania yanayosababishwa na corruption and poor management! Samia has failed as a President.
 
Ifike wakati uache ujinga.
Gdp ya nigeria imeshuka mpaka $188 bn kutoka $400+ bn ??

Ghana ime jump kutoka $60+ mpaka $88bn ?
Leo hii kenya inauchumi mkubwa kuliko Ethiopia?
Ukisikia kutumia kichwa kama round about ya hewa ndio huko.
Wametengeneza mkeka hao mazuzu ili wacheke wenyewe
N
 
Ipo hivyo Toka uhuru wa Tanganyika.

Imports ni kubwa kuliko exports ila ni Kwa vile tumekosa mikakati ya kutafuta hela kwenye sekta Moja tuu ya Kilimo.
60 years tumeshindwa kutumia kilimo kama number one export? What in the hell?

Nyerere atleast alianza ku practise hii, but serikali zilizofuata zilia abandon kilimo mpaka elo hakijainuka

Nadhan watu hawapo serious?
 
Kama Marais hawaoni Kilimo kama jambo la kipaombele unategemea nini?

Hatuna industry yeyote Nje Kilimo ambayo inaweza kutufanya giants wa Afrika.

Yaani Rais wa Sasa ndio kidogo amejaribu walau tumefika hapa.Najiuliza miaka hii 3 Kilimo kisingefanga vizuri Hali ya Uchumi ingekuaje ?
 
Tanzania baba inakosa muendelezo unao eleweka ivi ni ngumu hata uchumi kua stable afu pia naona Tanzania co kila kiongozi anauchu wa kuiona Tanzania katika viwango vingine yan kuna viongozi wengine wao liwalo naliwe freshi tu kikbwa uhai kwa mwenendo huu lazma itupe shida
 
Tumeshakubaliana kwamba sarafu haitoshi kabisa ku-determine uchumi wa nchi, tukae kwa utulivu as bi kizimkazi is on the right track. CC: Kafulila.
 
Kama Marais hawaoni Kilimo kama jambo la kipaombele unategemea nini?

Hatuna industry yeyote Nje Kilimo ambayo inaweza kutufanya giants wa Afrika.

Yaani Rais wa Sasa ndio kidogo amejaribu walau tumefika hapa.Najiuliza miaka hii 3 Kilimo kisingefanga vizuri Hali ya Uchumi ingekuaje ?
Kuna haja ya kuwa na vipaombele vya nchi, na kuzuia wana siasa kucheza navyo kabisa. Tuko hapa sababu kuna watu wali temper with that, wananchi ndio wanalipa price
 
Tanzania baba inakosa muendelezo unao eleweka ivi ni ngumu hata uchumi kua stable afu pia naona Tanzania co kila kiongozi anauchu wa kuiona Tanzania katika viwango vingine yan kuna viongozi wengine wao liwalo naliwe freshi tu kikbwa uhai kwa mwenendo huu lazma itupe shida
Hata ukisoma Dira ya 2050 inataka sekta ambazo ni ngumu sana kwetu kushindana na wengine.

Bila kuwekeza kwenye Kilimo kama Egypt na Ukraine hatufiki popote.
 
In fact Limeongezeka sana kipindi cha Samia Kwa sababu ya uwekezaji wa viwanda na Kukua Kwa Kilimo.

Uchumi kutoka 67 Hadi 85 ni kufeli?

Soma hapa 👇 👇

View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1913604647622983865?t=sd6gxs4tqDf2gjHrAtcnig&s=19

Na hapa 👇 👇

View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1910168331061170557?t=Vw0_rM6EpY9Rn2lsIlquNw&s=19

Mwisho Kuna kazi ya kufanya katika kudhibiti kushuka Kwa Shilingi hata hivyo miradi mikubwa inayoendelea ndio sababu kuu.

Eti tanzaniainvest.com ndio reliable source of info, hao ni machawa kama wewe unatarajia waandike kitu negative juu ya huyo sa100?
 
Back
Top Bottom