Kuporomoka kwa thamani ya Sarafu ya Tanzania yaishusha Kiuchumi hadi namba 11 Afrika

Bashe amejitahidi sana ukweli usemwe shida ni moja fedha za kigeni zote zinazoingia zinatoka kwenda China kupitia miradi,unnecessary import,uagizaji mafuta na goverment expenditure.Tunahitaji kudhibit import tuagize vitu vvya msingi sio mfanyabiashara anachukua dollar BOT kwenye kuchukua pipi China huo ni ujinga kabisa
Amejitahidi kufanyaje?

Kitu gani amefanya cha maana?
 
Sio visingizio ndio ukweli.Ni.lini ATCL imewahi pata faida.

Hata kununua hayo mandege chakavu bila Mpango wa biashara ni useless kabisa.

Umenunua harafu yanakaa au yanaishia gereji.
Siku nyingine unakuwa na akili na siku nyingine unamsifia Samia bila aibu hata pale ushahidi unaonyesha shortcomings!!
In the case of Air Tanzania suala sio kuwa halijawahi kuwa profitable bali ni kwamba licha ya kutotengeneza faida, madeni ya shirika yamezidi kukua unproportionately due to mismanagement and corruption and nobody seems to care! Mfano mzuri wa ATCL mismanagement ya ndege ni pale waziri Mwigulu alipochukua ndege ya shirika kupeleka mwili wa mkwe wake kwenda kumzika!! How do you justify such actions?
 
Kwani kumsifia Samia ndio kukosa akili?
 
Uchumi umekuwa kwenye makaratasi ya Samia anyopewa na machawa wake ila kiuhalisia hamna kitu.

Bora huyo aliekaa miaka 6 alijitahidi kuibua mamiradi ambayo nyie mnademka nayo sasa hivi.

Ok.. Hizo bilioni 18 zilizoongezeka vyanzo vyake ni mwendo kasi pia?

Ng'ombe kabisa.
Duuh tuwe wa kweli tu , Kuna sehem Samia anakosea lakini Kuna ongezeko kubwa sana katika ukuaji wa uchumi.
Mifano Iko wazi tukianza kwenye kilimo, kuanzia 2016 mpaka 2020 Kuna mazao uzalishaji ulishuka kupita kiasi mfano tu, korosho,ufuta ,mbaazi, choroko ,dengu, karanga, na kadhalika . Kuna zao kama mbaazi ilifikia hatuna unatafuta mteja hata kwa 500/ kg na humpati mbaazi ilifikia mpaka 100/kg ila Leo tunazungumzia bei ya kuanzia 1800 na bado zinagombaniwa .
Kuna ishu ya ufuta mfano tu mwaka Jana tu tumexport mara mbili ya tuliozalisha mwaka 2023 ikiwa na maana soko limelimwa sana na matarajio mwaka huuu uzalishaji utaongezeka sana.
Tukija kwenye mahindi 2019 songea mahindi yaliuzwa mpaka 250/ kg ila Leo hii mahindi yamekuwa lulu sasa hivi watu wanasaga unga na kupeleka msumbiji na Malawi kwa wingi sana .
Tukiwa mjini hatuwez kuona chochote ila vijijin watu wananeemeeka sana hasa kwa mazao .
 
Kama umekuwa kwenye makaratasi hizo Sgr zimekamilika Kwa kitumia kamasi zako au?

Kuna awamu Ina utitiri wa miradi kuzidi awamu ya 6?

Huna akili
 
Duuh tuwe wa kweli tu , Kuna sehem Samia anakosea lakini Kuna ongezeko kubwa sana katika ukuaji wa uchumi.
Mifano Iko wazi tukianza kwenye kilimo, kuanzia 2016 mpaka 2020 Kuna mazao uzalishaji ulishuka kupita kiasi mfano tu, korosho,ufuta ,mbaazi, choroko ,dengu, karanga, na kadhalika . Kuna zao kama mbaazi ilifikia hatuna unatafuta mteja hata kwa 500/ kg na humpati mbaazi ilifikia mpaka 100/kg ila Leo tunazungumzia bei ya kuanzia 1800 na bado zinagombaniwa .
Kuna ishu ya ufuta mfano tu mwaka Jana tu tumexport mara mbili ya tuliozalisha mwaka 2023 ikiwa na maana soko limelimwa sana na matarajio mwaka huuu uzalishaji utaongezeka sana.
Tukija kwenye mahindi 2019 songea mahindi yaliuzwa mpaka 250/ kg ila Leo hii mahindi yamekuwa lulu sasa hivi watu wanasaga unga na kupeleka msumbiji na Malawi kwa wingi sana .
Tukiwa mjini hatuwez kuona chochote ila vijijin watu wananeemeeka sana hasa kwa mazao .
Asikosee kwani ni malaika? Mbona waliotangulia kama kina Mwendazake si walivyruga kabisa?

Umewahi ona miradi yenye Tija kama hii ikitekelezwa awamu ya 5? Mradi wa 150bln irrigation scheme-Kigoma
👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DIjvBXyOu98/?igsh=MWUxNnZnZjA3YWF6dQ==
 
Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na IMF imeonesha kwamba Tanzania imeshuka kutoka 10 Bora ya Nchi Zenye Uchumi Mkubwa Afrika Hadi kuwa namba 11 ikipitwa na Nchi za Ghana huku ikikaeibiwa zaidi na DRC.

Kwa mujibu wa Wachumi,kilichosababisha kuporomoka Kushuka ni kuporomoka Kwa Thamani ya Sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ambayo ndio inatumika kukokotoa Ukubwa wa Uchumi wa Nchi.

Hata hivyo ielewe kwamba Uchumi wa Tanzania umeongezeka kutoka USD 67bln (2021) Hadi USD 85bln (2025) lakini kuyumba Kwa Shilingi kumechangia kuwa Nje ya Top 10.

Full report hapa World Economic Outlook - All Issues
View attachment 3313023

My Take
Juhudi za Kuimarisha thamani ya Shilingi ziendelee.

Ni vyema pia ikaeleweka kwamba IMF wametoa kinachoitwa Matarajio (Outlook) ya mwaka 2025.

July mwaka huu WB itatoa takwimu halisi za Kiuchumi (GDP) Kwa mwaka wa 2024.
View attachment 3313024
Mama anaupigwa mwingi. Walisikima watoto wa chura kiziwi
 
Ningetaman tungekuwa tunaorodhesha miradi ya mwendazake na Samia bahati mbaya tukifikiaga hatua hii yanageuka matusi na kubezeana
Yaani ukianza hiyo utakimbia mwenyewe maana ni sawa na kusema Mwendazake hakuna alichoanziaha Cha maana akakamilosha Bali vyote amekamilisha Samia chini ya miaka 4.

Back Kwa miradi iliyoanzishwa awamu ya 6 ni Mingi mno tena Kila sekta mfano kwenye Kilimo tuu Kuna zaidi ya hactares 500 za Umwagiliaji zinaendelea na ujenzi na zingine zimekamilika zinafanya kazi.

Miradi yote ni billions 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DIlyOhyN9ma/?igsh=anRqOHA3bnljMmk1
 
Naamini Samia kafanya mengi tu ila nachomaaniaha mara nyingi tukifikiaga hatua ya kuonesha nani kafanya mengi humu Kuna watu wamemeza mwendazake ni mungu
 
Amejitahidi kufanyaje?

Kitu gani amefanya cha maana?
1.Zaidi ya hactares 500k za irrigation zinaendelea na ujenzi, zingine zimekamilika kama huko Mbarali

2.Bashe ndio amekuwa champion wa mbolea ya ruzuku Kwa wakulima Sasa hivi sio tuu kwamba Sekta ya Uchumi inakuwa Kwa 4.2% kutoka 2.7% Bali Nchi haina njaa tena ,Mauzo ya mazao eongezeka mara dufu na Tanzania ni namba 2 Kwa Kuzalisha mahindi Afrika.

3.Tanzania imekuwa namba 2 Kuzalisha Tumbaku Africa

4.Tanzania imekuwa namba 1 Kuzalisha korosho Africa na namba 5 Duniani,ndani ya Uongozi wake uzalishaji wa Korosho umeongezeka mara 2.

5.Bashe ameanzisha mnada wa chai Tanzania

6.Ame champion ujenzi wa vihenge vya mazao Nchi nzima Ili kupunguza post harvest loss na kuuza pale soko.linapopatikana.

Kuna mengi sana ila nyie haters hakuna mnachojua.

View: https://x.com/DiraYaSamia/status/1911692124371722704?t=tBENkGXrBJqUHjyJ4PTu6g&s=19
 
Kama chawa wake wanavyosema amefanya mazuri Kila Kona ya nchi Kwa Nini Sasa uchumi unazidi kuporomoka Tena Kwa Kasi ya sgr?
Kuna mahala nimeandika uchumi imeporomoka? Rudi.kusoma.mada acha kukurupuka
 
Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na IMF imeonesha kwamba Tanzania imeshuka kutoka 10 Bora ya Nchi Zenye Uchumi Mkubwa Afrika Hadi kuwa namba 11 ikipitwa na Nchi za Ghana huku ikikaeibiwa zaidi na DRC.

Kwa mujibu wa Wachumi,kilichosababisha kuporomoka Kushuka ni kuporomoka Kwa Thamani ya Sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ambayo ndio inatumika kukokotoa Ukubwa wa Uchumi wa Nchi.

Hata hivyo ielewe kwamba Uchumi wa Tanzania umeongezeka kutoka USD 67bln (2021) Hadi USD 85bln (2025) lakini kuyumba Kwa Shilingi kumechangia kuwa Nje ya Top 10.

Full report hapa World Economic Outlook - All Issues
View attachment 3313023

My Take
Juhudi za Kuimarisha thamani ya Shilingi ziendelee.

Ni vyema pia ikaeleweka kwamba IMF wametoa kinachoitwa Matarajio (Outlook) ya mwaka 2025.

July mwaka huu WB itatoa takwimu halisi za Kiuchumi (GDP) Kwa mwaka wa 2024.
View attachment 3313024
Tunaishukuru serikali
 
Back
Top Bottom