Kuporomoka kwa thamani ya Sarafu ya Tanzania yaishusha Kiuchumi hadi namba 11 Afrika

Ishu inayokera ni kusifia tu , tungeachana na masuala ya kusifia tukawa na uhalisia tungefika mbali, ukiona mtu anakusifia saana jua anakuibia , kwa hili la Samia anatakiwa akatae sifa za kijinga ila kwangu anaperform walau kidogo
Kumbe shida Yako wewe ni kusifia , rubbish kabisa.

Yaani Serikali,Rais na wasaidizi walifanya vizuri watukanwe ndio mtafika mbali au siyo? Wapi huko wewe unaishi na hawafisiani?

Kwamba huyu Samia ambae alikuta Bajeti ya Tarura ya kujenga Barabara Vijijini ni chini ya 300bln akaipaisha Hadi Over 750bln na Barabara zikajengwa mara 2 atukanwe au una maanisha nini Mzee? 👇👇

View: https://x.com/MatayoZebedayo/status/1915043014566896066?t=ZwilTLgQZGYBnea3I7nXVg&s=19
 
Kama chawa wake wanavyosema amefanya mazuri Kila Kona ya nchi Kwa Nini Sasa uchumi unazidi kuporomoka Tena Kwa Kasi ya sgr?
Uchumi haujapromoka na hatujawahi fikia GDP ya 86 toka taifa lizaliwe , uchumi umepanda sana
Mwaka 2016 tulikuwa na GDP 49.77 mpaka anaondoka ilikuwa 70.66 hiyo ni kwa miaka sita huyu akapandisha kwa asilimia 20 huyu ana miaka minne amepandisha kwa 16 ila hata dhaman ya shiling imeshuka sana, nadhani kwa kushtuka kwa shilling kumechangia kuwa na GDP isiyoonekana ila ukiangalia exportation imeongezeka kwa kiwango kikubwa sana
 
1.Zaidi ya hactares 500k za irrigation zinaendelea na ujenzi, zingine zimekamilika kama huko Mbarali
Mradi wake wa kitapeli BBT, mazao yamekauka hiyo miradi ya umwagiliaji iko wapi?

Kuna siku nimepita njia ya Musoma, kuna bwawa la Kiarano karibu na kambi ya JKT Rwamkoma magugu yanataka kuua bwawa na hakuna hata umwagiliaji.
2.Bashe ndio amekuwa champion wa mbolea ya ruzuku Kwa wakulima Sasa hivi sio tuu kwamba Sekta ya Uchumi inakuwa Kwa 4.2% kutoka 2.7% Bali Nchi haina njaa tena ,Mauzo ya mazao eongezeka mara dufu na Tanzania ni namba 2 Kwa Kuzalisha mahindi Afrika.
Yawezekana ni deal lake analopiga kama ilivyo sukari. Vibali mpaka kwa kina Dr Mchunguzi wauza elctronics anawapa vibali.
3.Tanzania imekuwa namba 2 Kuzalisha Tumbaku Africa
Yeye kasaidia nini, kaone wakulima walivyo hohe hahe kwa kupigwa na mavyama ya ushirika.
4.Tanzania imekuwa namba 1 Kuzalisha korosho Africa na namba 5 Duniani,ndani ya Uongozi wake uzalishaji wa Korosho umeongezeka mara 2.
Korosho ni zao la peke yake, ups and downs.

Wakulima hawanufaiki.

mavyama ya ushirika ndio walaji.
5.Bashe ameanzisha mnada wa chai Tanzania
Hilo nalo ni jambo la kujivunia.
6.Ame champion ujenzi wa vihenge vya mazao Nchi nzima Ili kupunguza post harvest loss na kuuza pale soko.linapopatikana.
Vihenge tunavyo tangu enzi za Nyerere. Hivi unadhani.m watu wanatunza vipi mazao yao??

Bashe ukitoa viiingerza vireeefu, wizi na uhuni hana kipya.
 
Mradi wake wa kitapeli BBT, mazao yamekauka hiyo miradi ya umwagiliaji iko wapi?

Kuna siku nimepita njia ya Musoma, kuna bwawa la Kiarano karibu na kambi ya JKT Rwamkoma magugu yanataka kuua bwawa na hakuna hata umwagiliaji.

Yawezekana ni deal lake analopiga kama ilivyo sukari. Vibali mpaka kwa kina Dr Mchunguzi wauza elctronics anawapa vibali.

Yeye kasaidia nini, kaone wakulima walivyo hohe hahe kwa kupigwa na mavyama ya ushirika.

Korosho ni zao la peke yake, ups and downs.

Wakulima hawanufaiki.

mavyama ya ushirika ndio walaji.

Hilo nalo ni jambo la kujivunia.

Vihenge tunavyo tangu enzi za Nyerere. Hivi unadhani.m watu wanatunza vipi mazao yao??

Bashe ukitoa viiingerza vireeefu, wizi na uhuni hana kipya.
Huna hoja umeandika pumba.Yaani mtu anakwambia wakulima hawanufaiki Sasa wanawezaje kuongeza uzalishaji?

Watu kama nyie ni hasara sana .

View: https://x.com/HabariLeo/status/1912163764754927618?t=B-BBQk9wxXR6m_OuLsfn1w&s=19
 
Mradi wake wa kitapeli BBT, mazao yamekauka hiyo miradi ya umwagiliaji iko wapi?

Kuna siku nimepita njia ya Musoma, kuna bwawa la Kiarano karibu na kambi ya JKT Rwamkoma magugu yanataka kuua bwawa na hakuna hata umwagiliaji.

Yawezekana ni deal lake analopiga kama ilivyo sukari. Vibali mpaka kwa kina Dr Mchunguzi wauza elctronics anawapa vibali.

Yeye kasaidia nini, kaone wakulima walivyo hohe hahe kwa kupigwa na mavyama ya ushirika.

Korosho ni zao la peke yake, ups and downs.

Wakulima hawanufaiki.

mavyama ya ushirika ndio walaji.

Hilo nalo ni jambo la kujivunia.

Vihenge tunavyo tangu enzi za Nyerere. Hivi unadhani.m watu wanatunza vipi mazao yao??

Bashe ukitoa viiingerza vireeefu, wizi na uhuni hana kipya.

View: https://x.com/Mazikuagric/status/1902632805047132445?t=4kY_YFuCQ2BHpUetn9vstw&s=19
 
Mradi wake wa kitapeli BBT, mazao yamekauka hiyo miradi ya umwagiliaji iko wapi?

Kuna siku nimepita njia ya Musoma, kuna bwawa la Kiarano karibu na kambi ya JKT Rwamkoma magugu yanataka kuua bwawa na hakuna hata umwagiliaji.

Yawezekana ni deal lake analopiga kama ilivyo sukari. Vibali mpaka kwa kina Dr Mchunguzi wauza elctronics anawapa vibali.

Yeye kasaidia nini, kaone wakulima walivyo hohe hahe kwa kupigwa na mavyama ya ushirika.

Korosho ni zao la peke yake, ups and downs.

Wakulima hawanufaiki.

mavyama ya ushirika ndio walaji.

Hilo nalo ni jambo la kujivunia.

Vihenge tunavyo tangu enzi za Nyerere. Hivi unadhani.m watu wanatunza vipi mazao yao??

Bashe ukitoa viiingerza vireeefu, wizi na uhuni hana kipya.

View: https://x.com/HusseinBashe/status/1902395047758250026?t=lkbFyEgDafLGgDDZuVFI4w&s=19
 
Mradi wake wa kitapeli BBT, mazao yamekauka hiyo miradi ya umwagiliaji iko wapi?

Kuna siku nimepita njia ya Musoma, kuna bwawa la Kiarano karibu na kambi ya JKT Rwamkoma magugu yanataka kuua bwawa na hakuna hata umwagiliaji.

Yawezekana ni deal lake analopiga kama ilivyo sukari. Vibali mpaka kwa kina Dr Mchunguzi wauza elctronics anawapa vibali.

Yeye kasaidia nini, kaone wakulima walivyo hohe hahe kwa kupigwa na mavyama ya ushirika.

Korosho ni zao la peke yake, ups and downs.

Wakulima hawanufaiki.

mavyama ya ushirika ndio walaji.

Hilo nalo ni jambo la kujivunia.

Vihenge tunavyo tangu enzi za Nyerere. Hivi unadhani.m watu wanatunza vipi mazao yao??

Bashe ukitoa viiingerza vireeefu, wizi na uhuni hana kipya.

View: https://x.com/Land_Dwellers/status/1902335701175153030?t=A-7pS_P7Qe7sosMZdZaYeA&s=19
 
Uzalishaji upo kwasababu 90% ya watu nchi hii ni wakulima wa viheka kadhaa. Maana hatuna large scale farming.

Na Mungu kasaidia tumepata mvua misimu 3 mfululizo.

Tukipgwa ukame msimu mmoja tu, tunarudi sifuri hatua 2000
Alaa Kwa hiyo wameanza Kuzalisha awamu hii ya 6 ndio hayo Mageuzi Makubwa yamefanyika?

Au yalikuwa yanamsubiria Bashe maana Mawaziri na Serikali kibao.zimepita

View: https://x.com/HusseinBashe/status/1900537775314600240?t=219wZyZjKMjIt9-4I33QFQ&s=19
 
Kumbe shida Yako wewe ni kusifia , rubbish kabisa.

Yaani Serikali,Rais na wasaidizi walifanya vizuri watukanwe ndio mtafika mbali au siyo? Wapi huko wewe unaishi na hawafisiani?

Kwamba huyu Samia ambae alikuta Bajeti ya Tarura ya kujenga Barabara Vijijini ni chini ya 300bln akaipaisha Hadi Over 750bln na Barabara zikajengwa mara 2 atukanwe au una maanisha nini Mzee? 👇👇

View: https://x.com/MatayoZebedayo/status/1915043014566896066?t=ZwilTLgQZGYBnea3I7nXVg&s=19

Halafu kwenye budget ikatoka kiasi gani?

Hizo budget ni namba tu ambazo hutegemea zaidi makusanyo. Na 70% ya hizo pesa zinazowekwa kwenye budget huwa hazipatikani.
 
Uzalishaji upo kwasababu 90% ya watu nchi hii ni wakulima wa viheka kadhaa. Maana hatuna large scale farming.

Na Mungu kasaidia tumepata mvua misimu 3 mfululizo.

Tukipgwa ukame msimu mmoja tu, tunarudi sifuri hatua 2000
Asilimia 90% umeitoa wapi?

View: https://x.com/HusseinBashe/status/1898276995252793669?t=BDfK0Y8kBokmHIf3rppYjg&s=19

Katika Kukabiliana n hayo ya ukame ndio maana uwekezaji wa irrigation schemes over 500k zinaendelea na ujenzi.

Ndio maana chini ya awamu hii ya 6 imejenga maelfu ya vihenge na Sasa wanatumia gani 1mln za mazao kutoka chini ya tani Laki 3 awamu zilizopita.

Hapo hata ukame uje uhakika wa.ku survive miaka 3 upo ,,ajenda 10/30 ni kujifariji tani mil.3.

View: https://x.com/HusseinBashe/status/1894331727776030842?s=19
 
Na wewe itakuwa kuna jamaa huko CCM linakufira, maana kichwa chako kimejaa shahawa za kijani.
.reason sifuri, na vi-links vya Instagram
Kufirwa ni starehe.Wewe ni kitoto Cha juzi hujui kitu Bado unanuka Maziwa so kajielishe ndio uje kujadili na Mimi.
 
Back
Top Bottom