Ukitoa GDP na Currency value, Kenya haina cha maana cha ku-offer.Nikionaga ule uzi eti Nairobi CBD vs Dsm CBD huwa nacheka saana, Wabongo sanukeni kenya is far miles compared to tz. nishaai tembea sana tu, miundombinu ya kenya huwezi fananisha na tz. hizi barabara kiwango cha lami ni mpaka ushagoo akati tz region to region mtu unapiga vumbi. (tembea) liwale, nachingwea, tandahimba. vumbi tupu.
Ukiuliza zinakuja hoja tz ni kubwa compared to kenya so kilometers ni nyingi compared to kenya.
Guys kubwa mana yake ni hata number ya walipa kodi ni kubwa hapo ndio unakuja na hesabu za ratio.
sijui naeleweka??
Miundombinu ikiyopo Kenya ninsehemunndogonsana Nairobi, tena enwo la matajiri, hasa Westland, Karen, Uppwehill na Kilimani.
Wachina wamejenga Express way Westland ambayo mnapita kwa kulipia, kwa miaka 30.
Ukitembea Kenya, sehemu nyingine ni OVYOOOOOO.