Kuporomoka kwa thamani ya Sarafu ya Tanzania yaishusha Kiuchumi hadi namba 11 Afrika

Kuporomoka kwa thamani ya Sarafu ya Tanzania yaishusha Kiuchumi hadi namba 11 Afrika

Uzalishaji upo kwasababu 90% ya watu nchi hii ni wakulima wa viheka kadhaa. Maana hatuna large scale farming.

Na Mungu kasaidia tumepata mvua misimu 3 mfululizo.

Tukipgwa ukame msimu mmoja tu, tunarudi sifuri hatua 2000
Mkuuu nadhani hujatembea watu sasa hivi wanalima , bado hatujafikia viwango vya kuwa na wakulima wa acre2000 lakini Kuna wakulima wengi sana wanaolima kuanzia acre 50 hii ni kutokana na mitaji . Fuatilia tu rate ya ukuaji wa uzalishaji. Kitakachovutia watu walime ni soko. Chukulia mfano mwaka Jana ufuta watu wakipata bei nzuri sana mwaka huu ukipita mikoa ya kusini na morogoro watu wamelima sana ila mvua tu ndo imetuangusha
 
Hapa sasa tumeelewana, watu wanasema lakini mkawa mnatufaninishia na pesa ya china ina thamani kiduchu,uchumi wetu wa kuunga unga na hauna mwelekeo maalum
 
Hapa sasa tumeelewana, watu wanasema lakini mkawa mnatufaninishia na pesa ya china ina thamani kiduchu,uchumi wetu wa kuunga unga na hauna mwelekeo maalum
Laiti pesa ya china ingekuwa na dhaman asingeweza kuuza sana kama anavyouza sasa hivi na china mara nyingi anacontrol fedha yake isipande ili aendelee kuuza sana
 
Laiti pesa ya china ingekuwa na dhaman asingeweza kuuza sana kama anavyouza sasa hivi na china mara nyingi anacontrol fedha yake isipande ili aendelee kuuza sana
Nakubaliana na wewe, na sisi tungekuwa na vyote au kimoja wapo, namaanisha kuwa na pesa stable au kuzalisha kwa wingi, jibu vyote hatuna.

Umekuja utawala mpya umefumua BOT bila sababu za msingi,umerudisha mfumo wa zamani wa ubadilishaji pesa kiholela kisa tu wao ni wapya bila kuangalia matokeo chanya na hasi ya baadae.
 
Vibara bara vya kitapeli.

Vibarabara njia 2, lakini havina hata njia za waenda kwa miguu. Vyembambaaaaa.

Halafu lami inawekwa kibaba, matuta kibao, magari yanakata mauno.

Kokoto ziko juu juu
Unaonekana ni mpumbavu mmja,njia za waenda Kwa miguu kwenye gravel roads?

Ngoja niku ignore
 
Nakubaliana na wewe, na sisi tungekuwa na vyote au kimoja wapo, namaanisha kuwa na pesa stable au kuzalisha kwa wingi, jibu vyote hatuna.

Umekuja utawala mpya umefumua BOT bila sababu za msingi,umerudisha mfumo wa zamani wa ubadilishaji pesa kiholela kisa tu wao ni wapya bila kuangalia matokeo chanya na hasi ya baadae.
Na hata kwa macho tu huwez kusema marekani Ina GDP kubwa kuliko china maana almost Kila kitu kashikiria mchina , marekani kabaki na uchumi wa kwenye makaratasi tu na laiti mchina akisema aiachie fedha yake iwe free flow basi marekani hamfikii mchina hata kwa robo
 
Mkuu naomba tujikune pale mkono unapofika,kujifananisha na mataifa wakubwa nikujidanganya.

Tuseme ukweli tuna shida kama nchi kupanga uchumi wetu,tuna mihamko kwa wale tuliwapa madaraka,wapo sahihi muda wote awataki kusikia ushauri kwa wengine,wanajua wapo pale basi wana akili sana.
 
MNATUCHANGANYA TENA!
HIVI YULE MCHUMI WETU WA MITANDAONI AMBAYE NI MWENYEKITI WA MAPII PII, SI ALITUAMBIA KUWA DOLA SIYO KIPIMO CHA UCHUMI WA TZ.

nlisha waambia kuna vilaza katika hili taifa wanakula fedha za tz bila sababu.
Muogope sana mtu anayejua kila kitu...
Kama oscar oscar..leo sports,kesho psychology..kesho kutwa siasa...
 
gap la kenya na Tz linaongezeka halaf gap la Tz na Ug linapungua
Nchi yetu uchumi wake unadumaa dah
Aybn
 
Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na IMF imeonesha kwamba Tanzania imeshuka kutoka 10 Bora ya Nchi Zenye Uchumi Mkubwa Afrika Hadi kuwa namba 11 ikipitwa na Nchi za Ghana huku ikikaeibiwa zaidi na DRC.

Kwa mujibu wa Wachumi,kilichosababisha kuporomoka Kushuka ni kuporomoka Kwa Thamani ya Sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ambayo ndio inatumika kukokotoa Ukubwa wa Uchumi wa Nchi.

Hata hivyo ielewe kwamba Uchumi wa Tanzania umeongezeka kutoka USD 69bln (2021) Hadi USD 85bln (2025) lakini kuyumba Kwa Shilingi kumechangia kuwa Nje ya Top 10.

Full report hapa World Economic Outlook - All Issues

View: https://x.com/AfricaViewFacts/status/1915030771963752794?t=7cmBNGb-3MdAyJLtaQqnhw&s=19

My Take
Juhudi za Kuimarisha thamani ya Shilingi ziendelee.

Ni vyema pia ikaeleweka kwamba IMF wametoa kinachoitwa Matarajio (Outlook) ya mwaka 2025.

July mwaka huu WB itatoa takwimu halisi za Kiuchumi (GDP) Kwa mwaka wa 2024.
View attachment 3313024

Dhahabu na gesi ni baadhi ya bidhaa zilizo na bei kubwa katika soko la Dunia. Kwani tuwe nchi maskini ilihali bidhaa hizo zinachimbwa kwa wingi Sana? Hatuuzi au tunaweka stoo?
 
Back
Top Bottom