Kuporomoka kwa thamani ya Sarafu ya Tanzania yaishusha Kiuchumi hadi namba 11 Afrika

Kuporomoka kwa thamani ya Sarafu ya Tanzania yaishusha Kiuchumi hadi namba 11 Afrika

Kwani kumsifia Samia ndio kukosa akili?
Ndio, kwasababu unasifia kwa maslahi yako sio ya nchi hivyo unakuwa huna akili.
Samia na serikali yake wameshindwa kusimamia yasilimali za nchi kama ripofi ya CAG inavyoonesha.
Licha ya hayo Samia ameuza bandari za Tanganyika na wewe kila siku unamuanga mkono kwa vile mwanamke mwenzio!
 
M7 hacheki na kima wanaomkwamisha km Besigye, Bob Wine na mama asicheke na hao vibaraka ndio wa kwanza kuja kumkebehi humu. Asipoteze muda ktk kt kinaitwa maridhiano, asisikilize kelele yyte akiona uwekezaji unaolipa hawana wema hao wako kukukwamisha waje kukutukana
Shida ni hakuna la maana analofanya, JPM alikuwa strategic anawabinya pumbu wapumbavu na kujenga nchi. Sasa mtu ambaye vision hana akiwa na ukatili tena si ni disaster.
 
Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na IMF imeonesha kwamba Tanzania imeshuka kutoka 10 Bora ya Nchi Zenye Uchumi Mkubwa Afrika Hadi kuwa namba 11 ikipitwa na Nchi za Ghana huku ikikaeibiwa zaidi na DRC.

Kwa mujibu wa Wachumi,kilichosababisha kuporomoka Kushuka ni kuporomoka Kwa Thamani ya Sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ambayo ndio inatumika kukokotoa Ukubwa wa Uchumi wa Nchi.

Hata hivyo ielewe kwamba Uchumi wa Tanzania umeongezeka kutoka USD 69bln (2021) Hadi USD 85bln (2025) lakini kuyumba Kwa Shilingi kumechangia kuwa Nje ya Top 10.

Full report hapa World Economic Outlook - All Issues

View: https://x.com/AfricaViewFacts/status/1915030771963752794?t=7cmBNGb-3MdAyJLtaQqnhw&s=19

My Take
Juhudi za Kuimarisha thamani ya Shilingi ziendelee.

Ni vyema pia ikaeleweka kwamba IMF wametoa kinachoitwa Matarajio (Outlook) ya mwaka 2025.

July mwaka huu WB itatoa takwimu halisi za Kiuchumi (GDP) Kwa mwaka wa 2024.
View attachment 3313024

Tunamshukuru Mama kwa kutuondoa kwenye top 10😂
 
Siku nyingine unakuwa na akili na siku nyingine unamsifia Samia bila aibu hata pale ushahidi unaonyesha shortcomings!!
In the case of Air Tanzania suala sio kuwa halijawahi kuwa profitable bali ni kwamba licha ya kutotengeneza faida, madeni ya shirika yamezidi kukua unproportionately due to mismanagement and corruption and nobody seems to care! Mfano mzuri wa ATCL mismanagement ya ndege ni pale waziri Mwigulu alipochukua ndege ya shirika kupeleka mwili wa mkwe wake kwenda kumzika!! How do you justify such actions?
Jesus christ maan, hili shirika wameligeuza personal charter. No wonder shirika halileti faida, no body cares anymore
 
Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa na IMF imeonesha kwamba Tanzania imeshuka kutoka 10 Bora ya Nchi Zenye Uchumi Mkubwa Afrika Hadi kuwa namba 11 ikipitwa na Nchi za Ghana huku ikikaeibiwa zaidi na DRC.

Kwa mujibu wa Wachumi,kilichosababisha kuporomoka Kushuka ni kuporomoka Kwa Thamani ya Sarafu ya Tanzania dhidi ya Dola ambayo ndio inatumika kukokotoa Ukubwa wa Uchumi wa Nchi.

Hata hivyo ielewe kwamba Uchumi wa Tanzania umeongezeka kutoka USD 69bln (2021) Hadi USD 85bln (2025) lakini kuyumba Kwa Shilingi kumechangia kuwa Nje ya Top 10.

Full report hapa World Economic Outlook - All Issues

View: https://x.com/AfricaViewFacts/status/1915030771963752794?t=7cmBNGb-3MdAyJLtaQqnhw&s=19

My Take
Juhudi za Kuimarisha thamani ya Shilingi ziendelee.

Ni vyema pia ikaeleweka kwamba IMF wametoa kinachoitwa Matarajio (Outlook) ya mwaka 2025.

July mwaka huu WB itatoa takwimu halisi za Kiuchumi (GDP) Kwa mwaka wa 2024.
View attachment 3313024

Takwimu haziongopi.. Waziri wetu wa pesa ana PhD ya uchumi
 
Nani Sasa aache ujinga? Mimi au IMF? Harafu wale ni Wataalamu sio mbulula kama wewe.

Kilichotokea Kwa Tanzania ndio kimetokea Kwa Nigeria na Ethiopia.

Nigeria mwaka huu ndio second worst performing currency baada ya Tanzania ,so unashangaa nini?

Acha kuropoka,wewe ni layman wa Uchumi
Ni kweli Hadi Dangote kaambiwa auze mafuta yake Kwa Naira
 
Kenya wana rais anayejielewa pesa za serikali hazichezewi kizembe!
Screenshot_20250327-124235.jpg
 
Nikionaga ule uzi eti Nairobi CBD vs Dsm CBD huwa nacheka saana, Wabongo sanukeni kenya is far miles compared to tz. nishaai tembea sana tu, miundombinu ya kenya huwezi fananisha na tz. hizi barabara kiwango cha lami ni mpaka ushagoo akati tz region to region mtu unapiga vumbi. (tembea) liwale, nachingwea, tandahimba. vumbi tupu.
Ukiuliza zinakuja hoja tz ni kubwa compared to kenya so kilometers ni nyingi compared to kenya.
Guys kubwa mana yake ni hata number ya walipa kodi ni kubwa hapo ndio unakuja na hesabu za ratio.
sijui naeleweka??
 
Bora zishuke tena zishuke sana ,ukiokota dola moja ukibadili unaweza kununua kreti nzima ya mayai wakati dola hiohio hupati huko inakotoka Marekani hata yai moja.
 
Back
Top Bottom