Kuporomoka kwa thamani ya Sarafu ya Tanzania yaishusha Kiuchumi hadi namba 11 Afrika

Niambie kiwango chetu cha kuuza nje kwanini ni kidogo sana licha ya kwamba tuna rasilimali nyingi?
In fact Limeongezeka sana kipindi cha Samia Kwa sababu ya uwekezaji wa viwanda na Kukua Kwa Kilimo.

Uchumi kutoka 67 Hadi 85 ni kufeli?

Soma hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡

View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1913604647622983865?t=sd6gxs4tqDf2gjHrAtcnig&s=19
Na hapa πŸ‘‡ πŸ‘‡

View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1910168331061170557?t=Vw0_rM6EpY9Rn2lsIlquNw&s=19
Mwisho Kuna kazi ya kufanya katika kudhibiti kushuka Kwa Shilingi hata hivyo miradi mikubwa inayoendelea ndio sababu kuu.
 
Nyambafu kabisa.
Mjinga ni wewe unaeokoteza vya ku okoteza na kuleta hapa

Anyway mitano tena.
 
MNATUCHANGANYA TENA!
HIVI YULE MCHUMI WETU WA MITANDAONI AMBAYE NI MWENYEKITI WA MAPII PII, SI ALITUAMBIA KUWA DOLA SIYO KIPIMO CHA UCHUMI WA TZ.

nlisha waambia kuna vilaza katika hili taifa wanakula fedha za tz bila sababu.
Sio kipimo Cha uchumi ndio ila ndio medium of exchange ya kukokotoa Ukubwa wa Uchumi.

Yaani Ukubwa wa Uchumi wetu kama ni Trilioni 150 zinathaminishwa na exchange ya Dola vs Shilingi Ili kupata kipimo linganifu
 
Majuzi hapa one or reliable sources za nje zilisema tanzania wana spend too much kununua vitu nje, na big spender ni goverment

But as usual gov ikatuma minions wake kuja kupiga propaganda
Ipo hivyo Toka uhuru wa Tanganyika.

Imports ni kubwa kuliko exports ila ni Kwa vile tumekosa mikakati ya kutafuta hela kwenye sekta Moja tuu ya Kilimo.
 
Nchi inashuka kiuchumi na nyie chawa Bado mnamsifia Huyu fisadi kuwa anaupiga mwingi mumuongezee mitano tena!!
Nyie ndio mnatakiwa kushitakiwa kwa uhaini!!
 
Nchi inashuka kiuchumi na nyie chawa Bado mnamsifia Huyu fisadi kuwa anaupiga mwingi mumuongezee mitano tena!!
Nyie ndio mnatakiwa kushitakiwa kwa uhaini!!
Nchi inashukaje kiuchumi au hujui kusoma?
 
Chadomo hawausiki kweli?😁
Chadomo hawana mchango wowote hapa Tanzania zaidi kuleta vurugu na kuzurula huko na makapu ya tonetone.

Sijawahi Sikia Chadomo wanahamasisha watu kufanya kazi badala yake wanawapa ahadi hewa na ndoto .
 
Nchi inashukaje kiuchumi au hujui kusoma?
Thamani ya pesa ya nchi ikiporomoka maana yake nini wewe chawa?
It means the country is in shit!! Na kwa njaa yenu Bado mnamsifia eti β€œ juhudi ziendelee” my foot! Do you expect a different result with the same people like you?
 
Naomba ripoti za takwimu kutoka Tanzania Bureau of statistics maana kisheria ndio mamlaka pekee ya takwimu nchini
 
Naomba ripoti za takwimu kutoka Tanzania Bureau of statistics maana kisheria ndio mamlaka pekee ya takwimu nchini
Hizi ripoti nazokupa ni relevant na zimenukuliwa kutoka BoT.

Hao NBS mara nyingi Huwa wako out of date.Data zao za Uchumi watazitoa mwezi June na July.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…