28 Juni 2020
Chunya, Mbeya.
Tanzania
WAZIRI wa kilimo Mh. Japhet Hasunga amekutana na kuzungumza na wakulima na wadau wa zao la Tumbaku nchini kufuatia kuporomoka kwa bei ya Tumbaku mwaka wa nne mfululizo . Hivyo kuathiri uzalishaji tumbaku na wakulima kususa kulima kutokana na bei ndogo huku gharama za ukulima wa tumbaku kuwa juu.
Changamoto ni masoko ya nje na ladha ya tumbaku ya Tanzania haiwavutii watumiaji wa soko kubwa mfano China. Wachina wanataka kuja kupanda mbegu ya tumbaku Tanzania itakayo kuza tumbaku yenye ladha waipendayo waChina ... huku Algeria na Egypt...
Source : Global TV online