InawezekanaWatakua wanapata faraja flani kuringishia maisha yao iwe halisi au fake.
I get uDon't believe everything you see on social media
Niko busy na maisha yangu kuliko vile uwazavyoMind your own business. Kama mtu yupo Ok kupost maisha yake wewe unapungukiwa nini ?Au unaongezeka nini ?Kipe Yayo. Angalia maisha yako.
Unawezaje kufuatilia post za watu hadi ku rencostruct maisha yao?Kama nilivyokuambia as far wao wapo OK acha kupoteza energy ya ubongo wako kujiuliza. Maana wao sio wewe.Niko busy na maisha yangu kuliko vile uwazavyo
Unawezaje kufuatilia post za watu hadi ku rencostruct maisha yao?Kama nilivyokuambia as far wao wapo OK acha kupoteza energy ya ubongo wako kujiuliza. Maana wao sio wewe.
[Nilidhani labda kuna faida wanaipata
Nilidhani labda kuna faida wanaipataUnawezaje kufuatilia post za watu hadi ku rencostruct maisha yao?Kama nilivyokuambia as far wao wapo OK acha kupoteza energy ya ubongo wako kujiuliza. Maana wao sio wewe.
Kupost nipost mimiWakuu habari za jumapili
Niende moja kwa moja kwenye mada husika
Kuna hawa watu ambao wanaweza wakawa labda ni ndugu au rafiki,yaani unakuta mtu yupo addicted kupost maisha yake yote kwenye hii mitandao ya kijamii
Yaani mpaka unajikuta maisha yake unayajua kwa asilimia kadhaa kwa sababu ya kupost kwenye hizi social Media
Mpaka mtu akiwa na ugomvi na mtu unakuta anapost maneno ambayo ukikakaa ukiyafikiria unaona kabisa amemlenga mtu fulani
Sasa nyie ambao huwa mna hii tabia ,Je huwa mnapata faida gani kupost maisha yenu kwenye mitandao ya kijamii?
i dont trust that much wat i see in social networkWatakua wanapata faraja flani kuringishia maisha yao iwe halisi au fake.
Fair enoughUnawezaje kufuatilia post za watu hadi ku rencostruct maisha yao?Kama nilivyokuambia as far wao wapo OK acha kupoteza energy ya ubongo wako kujiuliza. Maana wao sio wewe.
Hapo ndo nimemshangaa. Nadhani yeye angejikita zaidi kwa nini yeye hapost. Sio kujiuliza maswali why wengine wanapost ?Kupost nipost mimi
Kuumia uumie wew.
Mimi kupost maisha personal ni kitu ambacho siwezi kabisa,nadhani niko hivoHuwezi jua. Cha muhimu tupe sababu kwa nini haupost ?Binafsi sipost kwa sababu nahofia vijuso. Watu waweza chukua picha zako wakapeleka kwa fundi. Pia napenda tu privacy. At the same time siwezi jaji wanaopost as far as wapo OK kufanya hivyo.
Hakuna alieumiaKupost nipost mimi
Kuumia uumie wew.
Na mimi huwa nawashaangaa nyie ambao mnapost maisha yenu kwenye social platform kila muda kama wewe unavyonishaangaa mimiHapo ndo nimemshangaa. Nadhani yeye angejikita zaidi kwa nini yeye hapost. Sio kujiuliza maswali why wengine wanapost ?
Wao wanaweza kama ambavyo wewe usivyoweza. Relax.Mimi kupost maisha personal ni kitu ambacho siwezi kabisa,nadhani niko hivo
Kumbe ndio hivoWao wanaweza kama ambavyo wewe usivyoweza. Relax.