Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,648
- 18,742
Mind your own business. Kama mtu yupo Ok kupost maisha yake wewe unapungukiwa nini ?Au unaongezeka nini ?Kipe Yayo. Angalia maisha yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mind your own business. Kama mtu yupo Ok kupost maisha yake wewe unapungukiwa nini ?Au unaongezeka nini ?Kipe Yayo. Angalia maisha yako.
Waswahili wamehamishia maisha yao yote kwenye social media- Na mbaya zaidi ni malimbukeni, wanaigana na kulumbana kijinga mno. Vichambo, misuto na kila aina ya ushenzi uliokuwa unauona huko mitaa ya uswazi imehamia kwenye social media.Wakuu habari za jumapili
Niende moja kwa moja kwenye mada husika
Kuna hawa watu ambao wanaweza wakawa labda ni ndugu au rafiki,yaani unakuta mtu yupo addicted kupost maisha yake yote kwenye hii mitandao ya kijamii
Yaani mpaka unajikuta maisha yake unayajua kwa asilimia kadhaa kwa sababu ya kupost kwenye hizi social Media
Mpaka mtu akiwa na ugomvi na mtu unakuta anapost maneno ambayo ukikakaa ukiyafikiria unaona kabisa amemlenga mtu fulani
Sasa nyie ambao huwa mna hii tabia ,Je huwa mnapata faida gani kupost maisha yenu kwenye mitandao ya kijamii?
ili mjiue kwa mawazo![]()
.![]()
maana nowadays likes na viewz zinasound kuliko neno la mdomoni.yaani kuna mtu anapata vibe moja mtandao anafarijika sana.
sasa huwezi sema mtu asiangalie wakati ukiweka status nusu sa no views unakata mood,kumbe watu wameishiwa bundle.
anyway,mletamada ana watu wake hapa anajaribu kuwaelezea,80% ya watu wanapost sababu ya kujitutumua,mpaka wanajikuta wamepost visivyo husika na watu,imagine umejenga nyumba unapost,thanks god i made it
,kwani Mungu ana acc insta!!!![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuinunua ili niiuzeBrother uza smartphone fuga kuku wa kisasa, 🎵🎶
Wakuu habari za jumapili
Niende moja kwa moja kwenye mada husika
Kuna hawa watu ambao wanaweza wakawa labda ni ndugu au rafiki,yaani unakuta mtu yupo addicted kupost maisha yake yote kwenye hii mitandao ya kijamii
Yaani mpaka unajikuta maisha yake unayajua kwa asilimia kadhaa kwa sababu ya kupost kwenye hizi social Media
Mpaka mtu akiwa na ugomvi na mtu unakuta anapost maneno ambayo ukikakaa ukiyafikiria unaona kabisa amemlenga mtu fulani
Sasa nyie ambao huwa mna hii tabia ,Je huwa mnapata faida gani kupost maisha yenu kwenye mitandao ya kijamii?
Mimi kupost maisha personal ni kitu ambacho siwezi kabisa,nadhani niko hivo
Sawa ila punguza hasiraUshasema wako addicted,harafu wauliza wanapata faida gani?,they feel reliefed i think...
Nani muoga
Sawa ila punguza hasira