Kupost kwenye Social Media

Kupost kwenye Social Media

Mind your own business. Kama mtu yupo Ok kupost maisha yake wewe unapungukiwa nini ?Au unaongezeka nini ?Kipe Yayo. Angalia maisha yako.
IMG_8z17nj.jpg
 
Wakuu habari za jumapili

Niende moja kwa moja kwenye mada husika

Kuna hawa watu ambao wanaweza wakawa labda ni ndugu au rafiki,yaani unakuta mtu yupo addicted kupost maisha yake yote kwenye hii mitandao ya kijamii

Yaani mpaka unajikuta maisha yake unayajua kwa asilimia kadhaa kwa sababu ya kupost kwenye hizi social Media

Mpaka mtu akiwa na ugomvi na mtu unakuta anapost maneno ambayo ukikakaa ukiyafikiria unaona kabisa amemlenga mtu fulani

Sasa nyie ambao huwa mna hii tabia ,Je huwa mnapata faida gani kupost maisha yenu kwenye mitandao ya kijamii?
Waswahili wamehamishia maisha yao yote kwenye social media- Na mbaya zaidi ni malimbukeni, wanaigana na kulumbana kijinga mno. Vichambo, misuto na kila aina ya ushenzi uliokuwa unauona huko mitaa ya uswazi imehamia kwenye social media.
 
ili mjiue kwa mawazo
emoji1.png
emoji1.png
emoji1.png
.

maana nowadays likes na viewz zinasound kuliko neno la mdomoni.yaani kuna mtu anapata vibe moja mtandao anafarijika sana.

sasa huwezi sema mtu asiangalie wakati ukiweka status nusu sa no views unakata mood,kumbe watu wameishiwa bundle.

anyway,mletamada ana watu wake hapa anajaribu kuwaelezea,80% ya watu wanapost sababu ya kujitutumua,mpaka wanajikuta wamepost visivyo husika na watu,imagine umejenga nyumba unapost,thanks god i made it
emoji1.png
emoji1.png
,kwani Mungu ana acc insta!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari za jumapili

Niende moja kwa moja kwenye mada husika

Kuna hawa watu ambao wanaweza wakawa labda ni ndugu au rafiki,yaani unakuta mtu yupo addicted kupost maisha yake yote kwenye hii mitandao ya kijamii

Yaani mpaka unajikuta maisha yake unayajua kwa asilimia kadhaa kwa sababu ya kupost kwenye hizi social Media

Mpaka mtu akiwa na ugomvi na mtu unakuta anapost maneno ambayo ukikakaa ukiyafikiria unaona kabisa amemlenga mtu fulani

Sasa nyie ambao huwa mna hii tabia ,Je huwa mnapata faida gani kupost maisha yenu kwenye mitandao ya kijamii?

Ushasema wako addicted,harafu wauliza wanapata faida gani?,they feel reliefed i think...
 
Back
Top Bottom