Kupostiana status huu ushamba nani aliuleta? Nini objective yake?

Ukiweka akili yako vzr ukawaza kwa kutulia kabsa unapata majibu huyu mreta mada anapoint,

Una watu zaidi ya 1000 kwa Contact list yako na kati ya hao 500 wako wasap zen unachukua pic ya mkeo una share
 
Hiyo kitu sijawahi hata kuielewa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…