Kupostiana status huu ushamba nani aliuleta? Nini objective yake?

Aliyeleta ndio aliyeleta Forum unayoandika hapa.
 
Kwani zile picha nyumbani kwenu za Album, nyingine mnabandika ukutani zilikua na kazi gani???Ni kitu hicho hicho tu.
Zaidi inaaminika watu wenye namba yako mpaka mnaonana whatsap mna ukaribu fulani, mnafahamiana so ata wakiona it is not the big deal, sio sawa na kubandika kwenye mti.
Hujiulizagi watu wanalipia Tangazp na kumbukumbu ya mzazi mtoto kwa gharama kubwa kwenye gazeti ambalo linatembea Tz nzima wakati hata wenyewe hawasomi hayo magazeti??
Wanaofanya wafanye tu, wako huru
 
Binadamu hasa huku Africa tunapenda sana kutambulika/kufahamika na watu wengine kwamba na yeye yupo....hii ndiyo sababu kampuni zote zinazojishghlisha kutoa nyenzo za kumuwezesha binadamu KUJITAMBULISHA kwa wengine hizo kampuni zina HELA sana.
 
Hela sina ila napostika, sema sioni lengo la maana la kufanyiwa hivyo
Ila ni kweli mi pia naonaga ushamba, ila wenyewe wanasemaga twaona wivu......

Mtua anapost kaamka, anakula breakfast, lunch, dinner yuko na mpenzi wake, anapost yupo kanisani, anapost usiku yupo kwenye maombi kwakifupi anapost kila kitu ni ushamba
 
Ongezea na hawa wa jogging mkuu wanakera sana πŸ˜„ hasa wenye smart watch kutuwekea na maramani πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…