Kupotea kwa cheti!

Kupotea kwa cheti!

ISIMBA

Senior Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
144
Reaction score
30
Habari za mida wakuu,

Kuna mdogo wangu alimaliza form 4 mwaka juzi akapata division 4 ya point 29, alikaa nyumbani mwaka mzima.

Mwaka huu ameamua kutafuta chuo, ila kwa bahati mbaya kwenye mazingira ya kutatanisha amepoteza cheti..!!

Naomba kujuzwa wakubwa ni utaratibu gani anatakiwa kuufata ili apate altenative ya cheti na aweze kufanya application?
 
Habari za mida wakuu, kuna mdogo wangu alimaliza form 4 mwaka juzi akapata division 4 ya point 29, alikaa nyumbani mwaka mzima. Mwaka huu ameamua kutafuta chuo, ila kwa bahati mbaya kwenye mazingira ya kutatanisha amepoteza cheti..!! Naomba kujuzwa wakubwa ni utaratibu gani anatakiwa kuufata ili apate altenative ya cheti na aweze kufanya application?

CONTACTS
All correspondence should be addressed to:

  • The Executive Secretary,
    The National Examinations Council of
    Tanzania;
  • P.O. BOX 2624 OR 32019 ;
  • Tel: +255-22-2700493 - 6/9;
  • Fax:+255-22-2775966;
  • E-mail: esnecta@necta.go.tz
  • TAFADHALI TOA TAARIFA YA VYETI VYA KUGHUSHI KWA KUTUMA UJUMBE KWENYE BARUA PEPE HII HAPA CHINI
  • vyeti@necta.go.tz
 
[QUOT=snipa;9442101]CONTACTS

[/QUOTE]

bado sijafunguka mkubwa...
 
aende baraza la mitihani tz ata pewa maelekezo kama ifuatavyo.1-awene anabarua kutoka serikaliza mitaa,2-awena barua kutoka shule alipo somea,3-aende kwenye kuocha polisi ili apate police report,4-aende kutangaza kwenye gazeti lolote la serikali awena pasport size 2 then achukue gazetihilo alitoe kopi,orignal atabakinayo nakala apeleke baraza la mitihani tz aandae kiasi cha tsh 40000 atakacho lipia bank iliapate stetiment of certificate ambayo itamsaidia kuapplay chuo
 
mkubwa Yohana nashukuru sana, God bless...
 
Kumbe sio shuuli ndogo...daah umakini wa kutunza vyet inabidi uongezeke
 
Back
Top Bottom