Habari za mida wakuu,
Kuna mdogo wangu alimaliza form 4 mwaka juzi akapata division 4 ya point 29, alikaa nyumbani mwaka mzima.
Mwaka huu ameamua kutafuta chuo, ila kwa bahati mbaya kwenye mazingira ya kutatanisha amepoteza cheti..!!
Naomba kujuzwa wakubwa ni utaratibu gani anatakiwa kuufata ili apate altenative ya cheti na aweze kufanya application?