Habari za mida wakuu, kuna mdogo wangu alimaliza form 4 mwaka juzi akapata division 4 ya point 29, alikaa nyumbani mwaka mzima. Mwaka huu ameamua kutafuta chuo, ila kwa bahati mbaya kwenye mazingira ya kutatanisha amepoteza cheti..!! Naomba kujuzwa wakubwa ni utaratibu gani anatakiwa kuufata ili apate altenative ya cheti na aweze kufanya application?
Nimeshawahi kutana na kesi kama hiyo nicheck hapa (goldebless2@gmail.com)
aende baraza la mitihani tz ata pewa maelekezo kama ifuatavyo.1-awene anabarua kutoka serikaliza mitaa,2-awena barua kutoka shule alipo somea,3-aende kwenye kuocha polisi ili apate police report,4-aende kutangaza kwenye gazeti lolote la serikali awena pasport size 2 then achukue gazetihilo alitoe kopi,orignal atabakinayo nakala apeleke baraza la mitihani tz aandae kiasi cha tsh 40000 atakacho lipia bank iliapate stetiment of certificate ambayo itamsaidia kuapplay chuo