laplusbelle15
Member
- Mar 5, 2014
- 41
- 14
Habari wana jamii forum, polen na majukumu mbalimbali.nilijifungua mwaka 2011 na baada ya kujifungua nilifunga kizazi.tangu hapo sijaona siku zangu, jambo ambalo linanipa maswali sana.nilienda kwa daktari wa kina mama akasema sio tatizo nitulie tuu.hii inakuwaje wataalamu wa afya? Msaada tafadhali