Kupotea kwa hedhi 4 years

Kupotea kwa hedhi 4 years

laplusbelle15

Member
Joined
Mar 5, 2014
Posts
41
Reaction score
14
Habari wana jamii forum, polen na majukumu mbalimbali.nilijifungua mwaka 2011 na baada ya kujifungua nilifunga kizazi.tangu hapo sijaona siku zangu, jambo ambalo linanipa maswali sana.nilienda kwa daktari wa kina mama akasema sio tatizo nitulie tuu.hii inakuwaje wataalamu wa afya? Msaada tafadhali
 
Umefunga kizazi kwa njia Ipi kwanza alafu ndiyo watu wakujuze
 
Nilifanyiwa Bilateral Tubal Ligation if iam correct!

Hii njia ya kufungia kizazi hufanyika kwa kukata au kufunga au kuchoma kwa umeme milija ya falopian ambayo hutumika kusafirisha yao kutoka kwenye kimfuko hadi hadi sehemu ambayo yao hurutubishwa na kama lisipo rutubishwa basi hufa na kutoka mawili kwa njia ya damu (bleeding) sasa kama hizi njia zimefungwa au kukatwa huwezi pata bleed maana yao haliwazi toka kwenye kifuko chake so huta pata hedhi kama hii ndiyo njia waliotumia kukufungia kizazi. Ila Jaribu tena kwenda kwa DK na umuelezee vizuri
 
Sawa nashukuru kwa maelezo na ushauri, ila kama ndio hali iko hivyo, hakuna madhara yeyote yatokanayo na hii hali?
 
Hivi ndiyo wanafanya
 
Attachments

  • 1421761195289.jpg
    1421761195289.jpg
    18.7 KB · Views: 370
Nenda kwa specialist wa magonjwa ya kinamama japo huo si ugonjwa! kakini nahisi utapata ushauri wa kitaalamu zaidi kwa huyo aliyebobea.kuwa kama umri wako mdogo haina madhara???
 
Kwani lazima upate hiyo hedhi?? Huoni kama imekupunguzia gharama,may be uwe wataka Mtoto
 
Hapo ndio kwenye wasiwasi kwanyu, kama damu haitoki, inaenda wapi? Of course napata unafuu wa kutomenstrurate, ila kama mtu mzima inabidi nijiulize.
 
Situation yako ni common sana kwa watu ambao wamepitia tubal ligation, kinachoniacha hoi ni kua umekaa 4 years hujasema wala kufanya chochote... Kamuone daktari akafanye scanning just to make sure huko chini kila kitu kiko sawa. Ki kawaida unatakiwa uendelee kupata periods kama kawaida, japo wapo wengi ambao wamemiss periods chache moja mbili hadi tatu.. Hii ya kwako ya four years duh! sijawahi sikia
 
Hapo ndio kwenye wasiwasi kwanyu, kama damu haitoki, inaenda wapi? Of course napata unafuu wa kutomenstrurate, ila kama mtu mzima inabidi nijiulize.

ya miaka minne?? ni kiasi gani??

4 years =48 months.
Each month=1Ltr of 'blood'
1*48=48Ltrs.

Sawa na ndoo 2 kubwa za maji na ka ndoo kadogo kamoja,

NO WAY... Huoni Tofauti yoyote mwilini????

Nnavojua edhi haistop hadi ifike miaka mingi kwenye menopause, (60yrs +)

Kuna scenerio utokea, inastop miezi miwil au mmoja, but 48 mingi sana
 
Hii njia ya kufungia kizazi hufanyika kwa kukata au kufunga au kuchoma kwa umeme milija ya falopian ambayo hutumika kusafirisha yao kutoka kwenye kimfuko hadi hadi sehemu ambayo yao hurutubishwa na kama lisipo rutubishwa basi hufa na kutoka mawili kwa njia ya damu (bleeding) sasa kama hizi njia zimefungwa au kukatwa huwezi pata bleed maana yao haliwazi toka kwenye kifuko chake so huta pata hedhi kama hii ndiyo njia waliotumia kukufungia kizazi. Ila Jaribu tena kwenda kwa DK na umuelezee vizuri

linakua absorbed,ile bleeding if from the endometrium
 
Sihisi chochote mwilini isipokuwa knowledge kuwa sipati siku zangu kama kawaida.last year nilienda Hospital, doctor akasema labda kwa sababu mtoto alichelewa kuacha kunyonya, inaweza kuchangia.
 
Back
Top Bottom