laplusbelle15
Member
- Mar 5, 2014
- 41
- 14
Nilifanyiwa Bilateral Tubal Ligation if iam correct!
Kwani lazima upate hiyo hedhi?? Huoni kama imekupunguzia gharama,may be uwe wataka Mtoto
Hapo ndio kwenye wasiwasi kwanyu, kama damu haitoki, inaenda wapi? Of course napata unafuu wa kutomenstrurate, ila kama mtu mzima inabidi nijiulize.
Hii njia ya kufungia kizazi hufanyika kwa kukata au kufunga au kuchoma kwa umeme milija ya falopian ambayo hutumika kusafirisha yao kutoka kwenye kimfuko hadi hadi sehemu ambayo yao hurutubishwa na kama lisipo rutubishwa basi hufa na kutoka mawili kwa njia ya damu (bleeding) sasa kama hizi njia zimefungwa au kukatwa huwezi pata bleed maana yao haliwazi toka kwenye kifuko chake so huta pata hedhi kama hii ndiyo njia waliotumia kukufungia kizazi. Ila Jaribu tena kwenda kwa DK na umuelezee vizuri
Ile damu inayotoka ni uchafu ninavyosikia hiyo inatakiwa itoke isipotoka inaweza ikasababisha kansa