Kupotea kwa Jabiri Timbula wa mwongozo-Tabora

Huyo alikuwa akifanya kazi maalumu hapo kijijini, ukifuatilia kuna uhalifu sana hapo. Kamaliza kazi kaenda na ripoti kwa wakubwa wake.
 
Kama alipita pita na wake za watu ,hii ni hatari sana hiyo Mikoa na sehemu ulizozitaja kwa uhalifu zinaongoza.
 
Karudi kwao burundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unajitetea sana mkuu? Unaweza ukakuta huyo unaemtoa hayumo,anaesoma huu uzi huyo ndio balaaa. We wape tu makavu watajijua wenyewe na tabia zao

Sent using Jamii Forums mobile app
We waache tu toka zamani wana mambo ya hovyohovyo kuua albino wao,vikongwe wao, hata mambo ya kuuana kwa chuki ni simpo sana kwao sijui wana laana gani au ni ya mwanamalundi
 
Bado hajapatikana mpaka leo nakujibu nduguze hawana taarifa yoyote. Tunazidi kupoteza matumaini na kukata tamaa kuwa atapatikana hai.
Mungu asaidie apatikane.Niliwahi shiriki kufanya nae kazi ya ujenzi kituo cha kiislamu IPC Kilimatinde Tabora mwaka 2017
 
Mungu asaidie apatikane.Niliwahi shiriki kufanya nae kazi ya ujenzi kituo cha kiislamu IPC Kilimatinde Tabora mwaka 2017
Sawa kama mlishirikiana kujenga hicho kituo cha Islamic Propagation Centre ni sawa kwani kijana alikuwa mcha Mungu na mshika maadili nadhani hiyo kupenda haki imemcost pia jamani binadamu hawa.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…