Vijana nawaomba mje hapa msome na mfungue macho yenu ya Tatu tupunguze haya madhila.
Ktk dunia ilio staarabika kuna mambo tunayaona na kuna mambo hatuyaoni. Ila nivyema tuambiane ukweli tupone sote.
Epuka kulisaliti taifa lako na kulihujumu ni hatari kwako binafsi na uzao wako. Kuwa Raia mwema lipende Taifa lako kuwa askari wa Taifa lako.
Sikia hiki kisa nafungua macho inasemekana Ulomi alipotea tarehe 11/12/2024. Akiwa amepokea simu kuna mzigo wake unavitu vya kupasuka hivyo maofisa wa Tra wanataka wakaufungue pamoja. Mwisho wakunukuu...... Mpo vijana.
Alipo pokea sim akamwambia mke wake aka mshikaji wake japo wakawa na mashaka.... Mpo vijana mpo wake za watu....
Wakaambia nenda akachukua boda kwenda bandarini ambapo mpaka jion hakuwa amefika..... trapped unknown.... mpo vijana...
Mke anasema wanabiashara biasha na mzigo ulikuwa kwa ajili ya vifaa vya ujenzi wa nyumaba..... Vijana mpoooooo
Okay mke anasema biashara yao ni ya mpesa ila wanabiashara nyingine.... like what... vijana mpooooooooo
Bwana hana rafiki ana cycle ndogo ya marafiki na kila mtu ana ubiz wake, hayupo kwenye social media na password za sim yake mpaka mke anazijuwa.... vijana vijana vijana mpoooo
Nawaomba vijana wa Tz tuishi maisha ya kumpenda Mungu na Taifa letu.
Yote tumwachie Mungu ila nachelea kusema ipo siku Tz itakuwa kama hii documentary. 🇹🇿 ❤️ 😍
View: https://m.youtube.com/watch?v=pOjYnSAAcnQ&t=283s&pp=ygUYR2FuZ3Mga2lsbGluZyBpbiBOYWlyb2Jp