Kupotea kwa mfanyabiashara Ulomi na viashiria vya uhalifu ktk jamii yetu jicho la tatu linahusu..

Vijana nawaomba mje hapa msome na mfungue macho yenu ya Tatu tupunguze haya madhila.

Ktk dunia ilio staarabika kuna mambo tunayaona na kuna mambo hatuyaoni. Ila nivyema tuambiane ukweli tupone sote.

Epuka kulisaliti taifa lako na kulihujumu ni hatari kwako binafsi na uzao wako. Kuwa Raia mwema lipende Taifa lako kuwa askari wa Taifa lako.

Sikia hiki kisa nafungua macho inasemekana Ulomi alipotea tarehe 11/12/2024. Akiwa amepokea simu kuna mzigo wake unavitu vya kupasuka hivyo maofisa wa Tra wanataka wakaufungue pamoja. Mwisho wakunukuu...... Mpo vijana.

Alipo pokea sim akamwambia mke wake aka mshikaji wake japo wakawa na mashaka.... Mpo vijana mpo wake za watu....

Wakaambia nenda akachukua boda kwenda bandarini ambapo mpaka jion hakuwa amefika..... trapped unknown.... mpo vijana...

Mke anasema wanabiashara biasha na mzigo ulikuwa kwa ajili ya vifaa vya ujenzi wa nyumaba..... Vijana mpoooooo

Okay mke anasema biashara yao ni ya mpesa ila wanabiashara nyingine.... like what... vijana mpooooooooo

Bwana hana rafiki ana cycle ndogo ya marafiki na kila mtu ana ubiz wake, hayupo kwenye social media na password za sim yake mpaka mke anazijuwa.... vijana vijana vijana mpoooo

Nawaomba vijana wa Tz tuishi maisha ya kumpenda Mungu na Taifa letu.
Yote tumwachie Mungu ila nachelea kusema ipo siku Tz itakuwa kama hii documentary. 🇹🇿 ❤️ 😍

View: https://m.youtube.com/watch?v=pOjYnSAAcnQ&t=283s&pp=ygUYR2FuZ3Mga2lsbGluZyBpbiBOYWlyb2Jp

MKUU UNAANDIKA UPUMBAVU!

MTU AMEKUFA,HATUNA HAKIKA SABABU ZA KIFO CHAKE,HALAFU WEWE UNATOKA KUJA KUANDIKA HIZI TAKATAKA?

HUU NI UPUMBAVU!

NA ULE UTABIRI JUU YA PUTIN,ULISEMA HAFIKI MWAKA GANI?

UJINGA UJINGA TU.
 
Tatizo ninaloliona usalama wa Taifa upo uchi ndio maana kwa Sasa mtu hata akipishana na mtu mwingine anatumia mwanya uo ku eliminate uhai wa mwenzie.!!

Madai, Madeni, mapenzi watu wanatake advantage na kuua wenzao maana polisi wamelala pono !!!

..sio kwamba wamelala pono ila na wao wanahusika.

..kazi yao ingekuwa rahisi kama wangekuwa hawana genge lao lililopewa ruhusa kupoteza watu.

..mfano mdogo: sasa hivi sio rahisi kutofautisha kati ya polisi, na jambazi, kwasababu polisi wamekuwa na mazoea ya kutokuvaa uniform ktk shughuli zao.
 
Vijana nawaomba mje hapa msome na mfungue macho yenu ya Tatu tupunguze haya madhila.

Ktk dunia ilio staarabika kuna mambo tunayaona na kuna mambo hatuyaoni. Ila nivyema tuambiane ukweli tupone sote.

Epuka kulisaliti taifa lako na kulihujumu ni hatari kwako binafsi na uzao wako. Kuwa Raia mwema lipende Taifa lako kuwa askari wa Taifa lako.

Sikia hiki kisa nafungua macho inasemekana Ulomi alipotea tarehe 11/12/2024. Akiwa amepokea simu kuna mzigo wake unavitu vya kupasuka hivyo maofisa wa Tra wanataka wakaufungue pamoja. Mwisho wakunukuu...... Mpo vijana.

Alipo pokea sim akamwambia mke wake aka mshikaji wake japo wakawa na mashaka.... Mpo vijana mpo wake za watu....

Wakaambia nenda akachukua boda kwenda bandarini ambapo mpaka jion hakuwa amefika..... trapped unknown.... mpo vijana...

Mke anasema wanabiashara biasha na mzigo ulikuwa kwa ajili ya vifaa vya ujenzi wa nyumaba..... Vijana mpoooooo

Okay mke anasema biashara yao ni ya mpesa ila wanabiashara nyingine.... like what... vijana mpooooooooo

Bwana hana rafiki ana cycle ndogo ya marafiki na kila mtu ana ubiz wake, hayupo kwenye social media na password za sim yake mpaka mke anazijuwa.... vijana vijana vijana mpoooo

Nawaomba vijana wa Tz tuishi maisha ya kumpenda Mungu na Taifa letu.
Yote tumwachie Mungu ila nachelea kusema ipo siku Tz itakuwa kama hii documentary. 🇹🇿 ❤️ 😍

View: https://m.youtube.com/watch?v=pOjYnSAAcnQ&t=283s&pp=ygUYR2FuZ3Mga2lsbGluZyBpbiBOYWlyb2Jp

Sultan wa kike ametengeneza idiots wengi nchi hii
 
Story nyingi tu mnataka kutusahaulisha.

Haya waliomteka Sativa mmewapata mwezi wa 6 unaenda sasa.

Waliomuua mzee Kibao mmewapata mwezi wa 3 sasa.

Waliomteka Soka na wenzake mmewapata , mwezi wa 4 sasa.

Ila mtekaji aliyeigiza ni ofisa wa TRA aliyeuliwa mmewapata wahusika ndani ya muda mfupi.

Msione watu wote ni wajinga.
Kweli kwa 300%
 
Vijana nawaomba mje hapa msome na mfungue macho yenu ya Tatu tupunguze haya madhila.

Ktk dunia ilio staarabika kuna mambo tunayaona na kuna mambo hatuyaoni. Ila nivyema tuambiane ukweli tupone sote.

Epuka kulisaliti taifa lako na kulihujumu ni hatari kwako binafsi na uzao wako. Kuwa Raia mwema lipende Taifa lako kuwa askari wa Taifa lako.

Sikia hiki kisa nafungua macho inasemekana Ulomi alipotea tarehe 11/12/2024. Akiwa amepokea simu kuna mzigo wake unavitu vya kupasuka hivyo maofisa wa Tra wanataka wakaufungue pamoja. Mwisho wakunukuu...... Mpo vijana.

Alipo pokea sim akamwambia mke wake aka mshikaji wake japo wakawa na mashaka.... Mpo vijana mpo wake za watu....

Wakaambia nenda akachukua boda kwenda bandarini ambapo mpaka jion hakuwa amefika..... trapped unknown.... mpo vijana...

Mke anasema wanabiashara biasha na mzigo ulikuwa kwa ajili ya vifaa vya ujenzi wa nyumaba..... Vijana mpoooooo

Okay mke anasema biashara yao ni ya mpesa ila wanabiashara nyingine.... like what... vijana mpooooooooo

Bwana hana rafiki ana cycle ndogo ya marafiki na kila mtu ana ubiz wake, hayupo kwenye social media na password za sim yake mpaka mke anazijuwa.... vijana vijana vijana mpoooo

Nawaomba vijana wa Tz tuishi maisha ya kumpenda Mungu na Taifa letu.
Yote tumwachie Mungu ila nachelea kusema ipo siku Tz itakuwa kama hii documentary. 🇹🇿 ❤️ 😍

View: https://m.youtube.com/watch?v=pOjYnSAAcnQ&t=283s&pp=ygUYR2FuZ3Mga2lsbGluZyBpbiBOYWlyb2Jp

Kitambo sijaona uchambuzi wako.
 
Sijaelewa hata point yako ni ipi
Maana yake!

Vifo,kupotea vinavyoendelea ni kazi inayofanywa na jamhuri dhidi ya wasaliti wa taifa letu lakini sisi kama raia hatuna info za kutosha kuhusu kinachoendelea kuhusu wahusika!!

Ndio maana vijana wanaonywa wasitumike na magenge yanayowalipa mapesa mengi Kwa kulisaliti taifa!
 
Back
Top Bottom