Wanabodi na wakuu, nimepata mshtuko mkubwa sana kwa wiki moja hii baada ya xmas kumekuwa na ukimya sana wa kada maarufu wa CCM mkuu
stroke na baadhi ya UVCCM wenzake humu jukwaani
Naomba mwenye taarifa zao atujuze nini kimewapata member wenzetu, huu ukimya si kawaida yao kabisa.