Kupotea kwa mkuu Stroke na vijana wa Lumumba JF

Kupotea kwa mkuu Stroke na vijana wa Lumumba JF

Mtaishia kufuatilia maisha ya watu huku mkishinda na njaa hata ya chipsi dume hamna
 
Wanabodi na wakuu, nimepata mshtuko mkubwa sana kwa wiki moja hii baada ya xmas kumekuwa na ukimya sana wa kada maarufu wa CCM mkuu stroke na baadhi ya UVCCM wenzake humu jukwaani

Naomba mwenye taarifa zao atujuze nini kimewapata member wenzetu, huu ukimya si kawaida yao kabisa.
no buku seven
 
Back
Top Bottom