Kupotea kwa ndege ya Malaysia na nguvu zisizoonekana, Wataalamu wa physics karibuni

Kupotea kwa ndege ya Malaysia na nguvu zisizoonekana, Wataalamu wa physics karibuni

Mtumishi,

Kama hawa non theist wameshindwa kuipata ndege waliyo tengeza, hivi wanaweza kudai kuwa hakuna Mungu? Hii ni argument tosha ya kuwasambaratisha hawa non theists au God Haters,

Mtumishi,hao walishaishiwa zamani sana na madai yao hayana nguvu kwakuwa hawana ushahidi wa kusaidia madai yao.............!!
 
Back
Top Bottom