Kupotea kwa watu: Je, kuna haja ya jeshi la polisi kutoa elimu kuhusu haki za mtuhumiwa na namna ya kukamatwa?

Kupotea kwa watu: Je, kuna haja ya jeshi la polisi kutoa elimu kuhusu haki za mtuhumiwa na namna ya kukamatwa?

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Suala la watu kukamatwa na Kutoeka (a.k.a kukamatwa na wasijulikana) limekuwa la kawaida miongoni mwetu. Kwa yanayoendelea nchini huwezi kujua kama mtu kakamatwa na polisi au majambazi coz style ni ile ile.

Polisi wakiwa kama wasimamizi wa sheria nchini wanahaki ya kumkamata mtu yeyote anayetuhumiwa, lakini pia mtuhumiwa ana haki zake pia zinazomlinda kama binadamu.

Je, kuna haja ya jeshi la polisi kuwaelimisha wananchi haki zao linapokuja suala la kukamatwa kama mtuhumiwa?

Ningeomba pia rais akemee kwa sauti kubwa haya mambo ya utekaji. Inaumiza sana. Kama mtu kavunja sheria basi akamatwe kama mtuhumiwa na siyo kutekwa.
 
Acha mazuzu yauawe mpk akili zao zitakapokaa sawa
 
Back
Top Bottom